Tutegemee Baraza jipya baada ya Muda

Magu Kama Magu anatamani aiongoze nchi hi yeye kama yeye! Sema kasahau kuwa katoka kwenye mfume huo! So hakuna jipya ndan ya fisiem. Mara ya kwanza tulikuwa tunakula makande kwenye sahani ya udongo leo kabadilisha now tunakula makande kwenye sahani ya plastk mwenye macho na aonee!!
 
Magu anauwezo wa kubadili sahani tuu na si makandee. Huwezo wa kubadili chakula hana.
 
Magufuli hata angeletewa kuku watapiga kazi tu
 
Itakuwa busara tukiombea mafanikiwa kwa mawaziri alio wateua tusiwaze vibaya, tuwe namatumaini na wateule walioteuliwa wao si malaika yakitokea makosa yawe ya mahati kama ajali kazini wakati wote tuwepamoja nao natuwaombee wafanye vema kazi walizopewa kwa manufaa ya Watanzania, kuvunja Baraza la mawaziri ni aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…