Tutawezaje kupunguza Inflation wakati nchi inaagiza hata 'toothpick'?- Kafulila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutawezaje kupunguza Inflation wakati nchi inaagiza hata 'toothpick'?- Kafulila

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mbalamwezi, Jul 12, 2012.

 1. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Kafulila, baada ya kuchambua namna ambavyo serikali inashindwa kudhibiti inflation, akamaliza kwa swali hilo...jambo ambalo ni la kweli kabisa. Tanzania inaagiza kuanzia tooth pick hadi ndege, huku ikiacha nafasi za kujitengenezea yaenyewe nguo kwa pamba inayolimwa nchini. Waziri wa fedha amekubaliana naye kwamba ni jambo la msingi sana, na na dhani wa CCM wanaombeza Kafulila, na ambao vichwa vyao haviwezi kufikiri sana (Mchemba?) watakuwa wamepwaya sana katika hili.
   
Loading...