erick13
Senior Member
- Aug 20, 2009
- 163
- 59
Ok tukae mita200 kusubili matokeo yabandikwe na mshindi atangazwe sawa.
Iwapo tutatia shaka ya kinachoendelea ndani tunahaki kusogea zaidi ya mita2 kuhoji kwa sababu jeshi la polisi na tume ya uchaguzi wote wako chini ya mwenyekiti wa ccm hatuna imani.
Ndg wamajamvi mkuu wa kaya katoa tamko watu wakishapiga kura waondoke.
polisi wameshapewa Amri ya kutimiza kauli ya mkuu vifaa vipya vya kipolisi,magari 700,magari ya washawasha nk yamekwisha ingia nchini.
Lakini chadema na ukawa washasema PIGA KURA LINDA KURA MITA 200.
Aksante.