Mudhaq said
Member
- Jul 25, 2020
- 8
- 22
Wewe ujue ya Ukraine wkt hujui yanayoendelea bandarinMuda wowote vikosi vya wargner pmc vitavuka mipaka kupitia Ukraine kwenda Belarus kwa usalama huku boss who prigozhn akiwa yupo moscow na putin
Kinachoendelea na kilichotokea ni propaganda za kivita na mpk ss urusi imeshinda watalam wakivita wanahamini ukiishambulia Ukraine kutokea Belarus ni ni rahisi kufika Kiev. Prigoznh anaenda Belarus kama ameisaliti kremlin hii ni danganya toto. Ukraine itakumbwa na mashambulizi mapya makubwa.
Vikosi vya chechen vipo njiani kuelekea bakhumut kuchukua nafasi ya wargner. Apo awali watu tulihamini vikosi hivyo vinaenda kupambana na wargner offensive inakaliwa na mapigo makubwa ya kimkakati
Sawa ustaadh munyaz atawasaidia urusiMuda wowote vikosi vya wargner pmc vitavuka mipaka kupitia Ukraine kwenda Belarus kwa usalama huku boss who prigozhn akiwa yupo moscow na putin
Kinachoendelea na kilichotokea ni propaganda za kivita na mpk ss urusi imeshinda watalam wakivita wanahamini ukiishambulia Ukraine kutokea Belarus ni ni rahisi kufika Kiev. Prigoznh anaenda Belarus kama ameisaliti kremlin hii ni danganya toto. Ukraine itakumbwa na mashambulizi mapya makubwa.
Vikosi vya chechen vipo njiani kuelekea bakhumut kuchukua nafasi ya wargner. Apo awali watu tulihamini vikosi hivyo vinaenda kupambana na wargner offensive inakaliwa na mapigo makubwa ya kimkakati
Dah watu mnaona mbali Sana,,,Muda wowote vikosi vya wargner pmc vitavuka mipaka kupitia Ukraine kwenda Belarus kwa usalama huku boss who prigozhn akiwa yupo moscow na Putin.
Kinachoendelea na kilichotokea ni propaganda za kivita na mpk sasa Urusi imeshinda watalam wakivita wanahamini ukiishambulia Ukraine kutokea Belarus ni ni rahisi kufika Kiev. Prigoznh anaenda Belarus kama ameisaliti kremlin hii ni danganya toto. Ukraine itakumbwa na mashambulizi mapya makubwa.
Vikosi vya chechen vipo njiani kuelekea bakhumut kuchukua nafasi ya wargner. Apo awali watu tulihamini vikosi hivyo vinaenda kupambana na wargner offensive inakaliwa na mapigo makubwa ya kimkakati
Kwani wewe unawajua wanaotembea na mkeo?Wewe ujue ya Ukraine wkt hujui yanayoendelea bandarin
Wewe unawajua wapiganaji wa Wagna? Unahakika gani kwamba hao marehemu ulowaona ni wapiganaji wa Wagna mzee kuwa makini kabla hujaliwa kichwaSasa mbona maripota hamueleweki?
Ina maana zile clip zilizokuwa zinapostiwa humu kuonesha Wagner wakishambuliwa na vikosi vya Urusi ilikuwa ni fake?
Ni fake kuwa wanajeshi wa Wagner hawakuuwawa na majeshi ya Urusi?
Ni mbinu gani hiyo ya kivita kwa kiongozi kukubali wanajeshi wake wafe ili kutengeneza propaganda kwa lengo la kuwafanya wapinzani waelewe kuwa Jeshi hilo limefanya uasi nchini kwake?
Wewe ni kilaza hujui unachozungumza sijui kwanini shule zetu zinazalisha vilaza namna hiiMuda wowote vikosi vya wargner pmc vitavuka mipaka kupitia Ukraine kwenda Belarus kwa usalama huku boss who prigozhn akiwa yupo moscow na Putin.
Kinachoendelea na kilichotokea ni propaganda za kivita na mpk sasa Urusi imeshinda watalam wakivita wanahamini ukiishambulia Ukraine kutokea Belarus ni ni rahisi kufika Kiev. Prigoznh anaenda Belarus kama ameisaliti kremlin hii ni danganya toto. Ukraine itakumbwa na mashambulizi mapya makubwa.
Vikosi vya chechen vipo njiani kuelekea bakhumut kuchukua nafasi ya wargner. Apo awali watu tulihamini vikosi hivyo vinaenda kupambana na wargner offensive inakaliwa na mapigo makubwa ya kimkakati
Pumbavu Putin,hatashinda,na wala hana uwezo wa kwenda Kiev, Putin atauawa wakati wowote kuanzia sasa.Muda wowote vikosi vya wargner pmc vitavuka mipaka kupitia Ukraine kwenda Belarus kwa usalama huku boss who prigozhn akiwa yupo moscow na Putin.
Kinachoendelea na kilichotokea ni propaganda za kivita na mpk sasa Urusi imeshinda watalam wakivita wanahamini ukiishambulia Ukraine kutokea Belarus ni ni rahisi kufika Kiev. Prigoznh anaenda Belarus kama ameisaliti kremlin hii ni danganya toto. Ukraine itakumbwa na mashambulizi mapya makubwa.
Vikosi vya chechen vipo njiani kuelekea bakhumut kuchukua nafasi ya wargner. Apo awali watu tulihamini vikosi hivyo vinaenda kupambana na wargner offensive inakaliwa na mapigo makubwa ya kimkakati
Du hii Kari.Pumbavu Putin,hatashinda,na wala hana uwezo wa kwenda Kiev, Putin atauawa wakati wowote kuanzia sasa.
Russia ina mkosi wa kutawaliwa na madikteta,
Sawa msomiWewe ni kilaza hujui unachozungumza sijui kwanini shule zetu zinazalisha vilaza namna hii
Fala ww[emoji2]Wewe ujue ya Ukraine wkt hujui yanayoendelea bandarin
Kwa akili kama zako ndo maana bandari zinauzwa.Pumbavu Putin,hatashinda,na wala hana uwezo wa kwenda Kiev, Putin atauawa wakati wowote kuanzia sasa.
Russia ina mkosi wa kutawaliwa na madikteta,
Huoni amekuletea taarifa ya kutoka huko,hivyo huenda anayajua ya bandariniWewe ujue ya Ukraine wkt hujui yanayoendelea bandarin
Mbona mnavuka mipaka banduguš¤Kwani wewe unawajua wanaotembea na mkeo?