Hivi Huyu Mwana JF, Unajitambua Kweli? Yaani Unamwachia Mdada Anapigwa Vivi Hivi? Bila Sababu Ya Msingi? Ungemwitia Police Akashtakiwe Kwa Sexual Harassment, Defamation N.k! Angepata Kichaa! Tena Mwanaume Na Mwanamke?Na nyie mkawa mmekaa tu mnaangalia anavyopigwa ili uje uombe msaada wa kisheria
Je angeuawa?
poa naomba koleo nikusaidie kutoa udongo mkuuAcha tufukue kaburi
Hebu mtafute basi ujue anaishi wapi tujue namna ya kumsaidia. Ni Bar gani hapo tabata?!Jana nilikuwa katika bar moja maeneo ya Tabata, nikashuhudia binti mhudumu wa bar hii akitendewa unyama na mmiliki wa bar. Amempiga makofi, ngumi na mateke..kufuatilia kwa karibu tukagundua alisahau kutoa chupa kwenye meza ya wateja waliomaliza kunywa na kuondoka (tukaambiwa sheria ya bar hii mhudumu ukichelewa kutoa/kumhudia mteja unakatwa 5,000 kwenye mshahara)
SWALI TUNAJIULIZA KWA NINI HUYU ALIMPIGA KIASI KILE? MPAKA KUMCHANA KWENYE PAJI LA USO. MASIKINI BINTI YULE NI MDOGO KIUMBO NA KIUMRI HAKUWEZA KUFURUKUTA NA YULE BWANA ALIKUWA BONGE.
WATAALAMU WA SHERIA TUNAWEZAJE KUMSAIDIA BINTI HUYU APATE HAKI YAKE?
NIMEENDA PALE TENA LEO NOKAAMBIWA BINTI HUYO AMEONDOKA AMERUDI KWAO (HAPA HAPA DSM). HAKWENDA/HAJUI HATA KURIPOTI POLISI.
Huwa naumia sana hawa nao ni watoto wa watu, wanafamilia zao huko zinawahitaji. Mtu unampiga unamtesa unamfukuza... Sio poa hata kidogo..... Why wanawachukua basi huko bush?Kiuhalisia wahudumu wa bar na mahausigeli wananyanyasika sana kingono...
Ifike kipindi wawe registered na bodi ya wafanyakazi iwatambue wao na waajiri wa watu hawa...
Ndio,yeyote mwenye hausigeli ajulikane..
Mfanyakazi akihama,ijulikane ameenda wapi na kwa sababu zipi?
Haitasaidia lakini itapunguza unyanyasaji...
Usimlaumu sasa... Kulileta tu hapa tu amefanya jambo la kiuungwana sana.Hivi Huyu Mwana JF, Unajitambua Kweli? Yaani Unamwachia Mdada Anapigwa Vivi Hivi? Bila Sababu Ya Msingi? Ungemwitia Police Akashtakiwe Kwa Sexual Harassment, Defamation N.k! Angepata Kichaa! Tena Mwanaume Na Mwanamke?
Kwani Hapo imesemwa ngono? Acha ujinga wewe jibu hoja kuleKiuhalisia wahudumu wa bar na mahausigeli wananyanyasika sana kingono...
Ifike kipindi wawe registered na bodi ya wafanyakazi iwatambue wao na waajiri wa watu hawa...
Ndio,yeyote mwenye hausigeli ajulikane..
Mfanyakazi akihama,ijulikane ameenda wapi na kwa sababu zipi?
Haitasaidia lakini itapunguza unyanyasaji...
Kwani Hapo imesemwa ngono? Acha ujinga wewe jibu hoja kule
Ulitakiwa tuanze kukutandika we kwanzaJana nilikuwa katika bar moja maeneo ya Tabata, nikashuhudia binti mhudumu wa bar hii akitendewa unyama na mmiliki wa bar. Amempiga makofi, ngumi na mateke..kufuatilia kwa karibu tukagundua alisahau kutoa chupa kwenye meza ya wateja waliomaliza kunywa na kuondoka (tukaambiwa sheria ya bar hii mhudumu ukichelewa kutoa/kumhudia mteja unakatwa 5,000 kwenye mshahara)
SWALI TUNAJIULIZA KWA NINI HUYU ALIMPIGA KIASI KILE? MPAKA KUMCHANA KWENYE PAJI LA USO. MASIKINI BINTI YULE NI MDOGO KIUMBO NA KIUMRI HAKUWEZA KUFURUKUTA NA YULE BWANA ALIKUWA BONGE.
WATAALAMU WA SHERIA TUNAWEZAJE KUMSAIDIA BINTI HUYU APATE HAKI YAKE?
NIMEENDA PALE TENA LEO NOKAAMBIWA BINTI HUYO AMEONDOKA AMERUDI KWAO (HAPA HAPA DSM). HAKWENDA/HAJUI HATA KURIPOTI POLISI.
Ngono tenaKiuhalisia wahudumu wa bar na mahausigeli wananyanyasika sana kingono...
Ifike kipindi wawe registered na bodi ya wafanyakazi iwatambue wao na waajiri wa watu hawa...
Ndio,yeyote mwenye hausigeli ajulikane..
Mfanyakazi akihama,ijulikane ameenda wapi na kwa sababu zipi?
Haitasaidia lakini itapunguza unyanyasaji...
Kweli aisee.Hivi Huyu Mwana JF, Unajitambua Kweli? Yaani Unamwachia Mdada Anapigwa Vivi Hivi? Bila Sababu Ya Msingi? Ungemwitia Police Akashtakiwe Kwa Sexual Harassment, Defamation N.k! Angepata Kichaa! Tena Mwanaume Na Mwanamke?