lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,481
Ni kweli kuwa ni chama kikuu cha upinzani lakini utadhani kiko madarakani.
Ndio chama kinachosakamwa na mamlaka iliyopo madarakani kuliko chama chochote cha siasa kwa sasa na hii imekifanya kuwa imara. Ni chama kilicho nje ya dola lakini kiukweli kina nguvu kuliko chama kilichopo madarakani. Chama kilichopo madarakani hakiwezi kusimama kama CHADEMA kama kikiwa nje ya madaraka,kitakufa mara moja.
Chadema hakina pesa kama CCM lakini kimeweza kufanya maamuzi magumu juu ya viongozi wake wa juu bila athari kubwa CCM na pesa zake haiwezi.CCM kwa kutumia mabilioni ambayo sijui inayatoa wapi imejaribu kuwanunua baadhi ya viongozi na wanachama muhimu wa Chadema ili kuiua lakin imeshindikana, Licha ya kuwa haina pesa lakini watu wanagombea kuitumikia CHADEMA.
Ina nguvu namna hii ikiwa nje ya dola,ikishika dola hakika utawala bora utakua ni wa kupigiwa mfano barani AFRICA, Kukiwa na utawala bora maendeleo na huduma za kijamii vitamiminika Tanzania Ukiona watu wanakitii chama ambacho hakiko madarakani ujue kilichopo kimewachosha.
Chadema ni imara,inaaminiwa na kupedwa ukiisema,vibaya gizani itakuambia ulichoisema ifikapo asubuhi,mkiwa wawili mkipanga njama za kuiumiza mwenzako ataenda kuiambia mipango yote, na ninakuhakikishia ukiwa peke yako ukipanga kufanya jambo baya kwa CHADEMA usiku wa giza nene kabla hakujakucha utakifahamisha cham hiki juu ya mipango yako uvu.
Sasa naamini hiki chama kimekubalika na MUNGU.