Tutafute hela wakuu

Tutafute hela wakuu

sakwano

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
303
Reaction score
830
Bhna ehee miaka kama mitano ishapita nilijikuta mm ni mteule wa kutumikia elimu ya juu Ikiwa ni mwaka wa kwanza...dooo,,mademu wa kali wapo aisee nilikutana na pisi moja kali sna skuli,ilipendelea mavazi ya hijabu,sio muongeaji,umbo namba nane,raha yake alikuwa akitembea kwa madaha sana ...macho yake yalitosha kumshawishi kila mwanaume rijali alie muona....hali hiyo haikuwa tofauti kwangu..nilipotua tu kwenye orientation baada ya kuzungusha macho tu ndie mtu wa kwanza kumpenda tokea nazaliwa na kuanza mahusioano...

Siku hiyo tuliyoyaskia kutoka kwa viongozi wanafunzi wenzetu kwangu mimi haiukuwa hata muhimu.. bhasi bhna sikuweza hata kuwaza zaidi ya kufikili huyu lazima atakuwa mke wangu iwe isiwe

Maajabu ya dunia bhna yule manzi alikuwa akisoma kozi moja na mimi kila eneo najikuta niko nae...hahaha wawili sisi tulijikuta tunaangaliana na kutabasamu baada ya kujikuta kila mahali tunashida inayofanana...hahaha...aisee wakuu mliopitia hizo mambo mnaelewa chuo kwa watu ambao ni fresher from school mnaelewa...

Mara mpo wote kwenye ofisi ya dean..mara kwa loan officer..bhasi shida tupu, ambao hawajaona majina ya wanufaika kote tupo...bhasi kipind chote hakukuwa nacha zIada zaidi ya kutabasamu na kusalimiana tu.

...baada ya siku kidogo kwenda nilikutana nae akijaza fomu za usajili ambazo niiliba namba ya simu nikiwa nyuma yake...ilikuwa ni kibaharia sana...bhasi. Kilichofuata ni fix za kutosha na sound nzuri zilizopelekea mimi na yeye tuko mazingira ya kiout out ya kichuoChuo tena wadau wanajua chuo ilivyo ungaunga mwana ... hahaha mkuu ningefanyaje sina kitu ila manzi aliinjoy pamoja na vizawad zawadi....

Kiufupi demu alionesha hisia kali sana kwa soldier ...alie kuwa kwenye mahusiano nae kwa wkt ule....mm nilipigwa cha mbavu ...nilichinjiwa baharini.....

Fresh fresh tu kwangu mm ikawa ni mwanzo wa mapambano na slides za malecterer ...aisee niliikubali ile hali licha ya kuwa nilimpenda sana...kufupisha tu nilitumia mbinu nyingi sana kumpata na si mimi tu ilikuwa ngumu sna hata kwa wana wengine ...anyway ningefanyaje sasa mtoto wa maskini ilibidi nisome sana nikiamini nitapata kazi zuri pisi zitakuja zenyewe....

Baada ya kumaliza chuo sikukaa mtaani sababu nilikuwa mtundu sana hadi leo ...hii ilipelekea kupata nafasi kwenye moja ya makampuni mazuri tu hapa town(sitotaja kampuni) bhasi,siku moja katka kutafakar life nikajikuta namtamfuta huyu binadamu sbb namba nilikuwa nimehifadhi kutoka kwenye dairy yangu....

Mimi:hallow
Halima: hallow
Mimi:mambo vipi?
Halima😛oa,nani mwenzangu?
Mimi:ni Alex
Halima:Alex yupi
Mimi:Alex sakwano...
Halima:jamani za siku,upo we kiumbe?
Mimi:nipo mzima blablabla nyingi sana...

Baada ya mazungumzo marefu niliarrange trip ya kuonana nae.....wakuu nilikuwa na chuma pamba kali sana,tako la nyani jipya lazima uchanganyikiwe kipind icho.

Story ndefu sana kisa kikali sana usiache kufatilia ......
 
Wanafunzi wa shule watamu sana, watakao fungwa jela miaka 30 masikini hao. Matajiri na viongozi wengi wanakula wanafunzi kama karanga za Diamonds platinum
 
  • Kicheko
Reactions: EEX

Similar Discussions

Back
Top Bottom