supermario
Member
- Dec 2, 2011
- 48
- 15
Hii ni timu ambayo imekuwa na mafanikio makubwa kimchezo wa soka nchini. mechi zake ni moja ya mechi zenye mapato makubwa kutokana na viingilio. ni timu ambayo inapata hela nyingi sana kutokana na mikataba ya usajili kutoka katika makampuni makubwa nchini.
Lakini hii timu na ile nyingine ya Yanga mbona haina mafanikio? Kama hii picha hapo wako katika mazoezi kweli timu kubwa kama hizi hadi leo hawana hata kauwanja ka mazoezi?
Lakini hii timu na ile nyingine ya Yanga mbona haina mafanikio? Kama hii picha hapo wako katika mazoezi kweli timu kubwa kama hizi hadi leo hawana hata kauwanja ka mazoezi?