Tutafakari: Kama sisi ni nchi huru kwanini Serikali imkane Makonda? Haki zipi ambazo ziko nje ya katiba yetu? Je, serikali imeridhia ushoga?

images.jpg

kod3.jpg

Mwenye update yoyote kama computer ya office imeshabadilishwa au bado!!!!!
 
Watz sisi wanafiki sana..
Huyo mwanamke anaona kiki hili suala,
Nauliza hivi wanaume kamili wote wa jf,huyo mwanamke angekua mama yako au dada yako utajiskiaje,
Em imagine una rafiki au ndugu anapromote ushoga,
This is so sad,bahs tu nchi yangu ipo ndami ya mikataba ya kimataifa na bado tunategemea misaada,bila hvyo yangekua mengine,
Shame on you all wanaotetea!
Ex president wa znz natamani nimuulize kama yuko proud kua na daughter km huyo maybe jibu lake litanipa mwanga,

We uko tayari kuwa na rais na waziri wanaounga mkono ushoga? Maana kama hawako na Makonda anayepinga inamaana wanaukubali.
 
Kwahiyo Serikali Imeamua Kuunga Mkono Juhudi Za Shangazi!
Understanding a phenomenon requires, as condition, broader notion of surrounding matters. Shangazi yenu amewaathiri kwa kuingiza kwenye mjadala wa ushoga, suala la kesi yake ya ushoga anayotetea mahakamani. Hizi zilikuwa jitihada zake za kujinusuru/kujitetea asionekane homosexuality fanatic kwenye macho ya umma. Hakuna mkataba wowote unaotetea masuala ya ushoga ambao Tanzania imeuridhia - anayepinga hili aweke mkataba huo hapa. Mwaka huu Umoja wa mataifa umeondoa haki za mashoga kuwa haki za binadamu. Hapa Tanzania kuna sheria [penal code] ya CPA inaharamisha ushoga na kutoa adhabu kali kwa offenders. Inachosema Wizara ya Mambo ya Nje hakifuti sheria husika wala ku-condone ushoga. Statement ya wizara ya mambo ya nje ni msimamo wa jumla inayofafanua, iwapo kuna upotoshaji umenafanyika, kuwa hakuna kilichobadilika (status quo) kuhusiana na obligation za taifa kwenye makubaliano ya kimataifa tuliyonayo. Ni kuondoa wasiwasi unasababishwa na misinterpretation au distortions zinazofanywa kwenye social media. .
 
Napata ukakasi kuamini kuwa serikali imeridhia mikataba ya ushoga kisirisiri ila majukwaani wanapayuka kama vile sio wao.

Kwa muda mrefu wanaccm walidai vyama vya upinzani vimeridhia ushoga kwa kufadhiriwa na nchi za mashoga lakini ukifuatilia ndio hao hao wanaoitwa nchi wahisani wa maendeleo.

Makonda kaibuka na kampeni ya mashoga na wakaa kimyaaa ila baadae wameibuka na kumkana rais wa mkoa au mwakilishi wa rais.

Najiuliza kama sisi ni taifa huru tunaogopa nini? Je tumeshasaini mikataba ya mashoga kimyakimya? Na ccm wanalakujibu juu ya hili
Dar bila ushoga inawezekana!! Sasa sijui itakuwaje ?
 
We uko tayari kuwa na rais na waziri wanaounga mkono ushoga? Maana kama hawako na Makonda anayepinga inamaana wanaukubali.
Dont be an idiot na wewe,
Unadhani ikisemwa tz wewe haupo au,aksemwa rais au nchi jua na weww umesemwa,
Hiyo mikataba tumeingia sababu ya umaskini tu fullstop,inakera kinomaaa
 
Wewe ni mtakatifu ?kwahiyo hata kama ww unadhambi ndio uache maovu yatendeke kisa na ww ni mkosefu..au bora kukemea huku ukimuomba mungu akunasue kwenye madhambi yako?

Kaa ukijua kwamba hakuna dhambi ndogo wala kubwa.
 
Understanding a phenomenon requires, as condition, broader notion of surrounding matters. Shangazi yenu amewaathiri kwa kuingiza kwenye mjadala wa ushoga, suala la kesi yake ya ushoga anayotetea mahakamani. Hizi zilikuwa jitihada zake za kujinusuru/kujitetea asionekane homosexuality fanatic kwenye macho ya umma. Hakuna mkataba wowote unaotetea masuala ya ushoga ambao Tanzania imeuridhia - anayepinga hili aweke mkataba huo hapa. Mwaka huu Umoja wa mataifa umeondoa haki za mashoga kuwa haki za binadamu. Hapa Tanzania kuna sheria [penal code] ya CPA inaharamisha ushoga na kutoa adhabu kali kwa offenders. Inachosema Wizara ya Mambo ya Nje hakifuti sheria husika wala ku-condone ushoga. Statement ya wizara ya mambo ya nje ni msimamo wa jumla inayofafanua, iwapo kuna upotoshaji umenafanyika, kuwa hakuna kilichobadilika (status quo) kuhusiana na obligation za taifa kwenye makubaliano ya kimataifa tuliyonayo. Ni kuondoa wasiwasi unasababishwa na misinterpretation au distortions zinazofanywa kwenye social media. .
Wewe ni pimbi!
 
Back
Top Bottom