GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
Haya tushaibiwa wana ukawa, sasa tupambane huku zanzibar maalim seif atangazwe mshindi, zanzibar ndio itakayo igomboa tanganyika, moja ya Jambo la mwanzo watakalo tekeleza cuf ukawa ni kurudisha mamlaka kamili ya Zanzibar, inamana tanganyika itarudi na kurudi kwenye meza ya mazungumzo kwa mambo ya muungano.
Wakati litakapo rudi tanganyika ukawa tuhakikishe tume huru ya uchaguzi itakayo simamia uchaguzi wa Tanganyika.
Mungu ibariki zanzibar na tanganyika
Wakati litakapo rudi tanganyika ukawa tuhakikishe tume huru ya uchaguzi itakayo simamia uchaguzi wa Tanganyika.
Mungu ibariki zanzibar na tanganyika