UGOKO MKAVU
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 202
- 79
Leo nimeangalia TPF saa 2 mpaka saa 3 EATV kilipomalizika nikahamia TBC1 kutazama EBSS hakika nilichogundua ni kuwa TPF iko juu kuanzia contestants, bend, faculty mpaka judges kuliko EBSS ambako judges (hasa Madam) wanatoa comments za kinafki za kumsifia mshiriki hata kama kaimba vibaya ili mradi tu bora liende na mapungufu mengineyo.
EBSS najua huu ni mwanzo tu lakini bado mna safari ndefu sana ya kufikia kiwango kama cha TPF...ni vema mkaboresha zaidi kipindi chenu.
EBSS najua huu ni mwanzo tu lakini bado mna safari ndefu sana ya kufikia kiwango kama cha TPF...ni vema mkaboresha zaidi kipindi chenu.