Nickname na Odemba nawapongeza kwa kuwaamsha wanajf -kijana anastahili kupewa support ya watanzania wote - he is just amazing good singer. Last Sunday mmi na family tulijimwaga mjengoni - Tusker Project Fame Dome kumuona live na kumtia moyo.
Jana ulimuona alivyopozi -NIPASHE?
Safari hii Tanzania hatutaki namba ya pili tunataka namba 1 and nothing else. ALL VOTES FOR HISIA - SMS TUSKER 12