Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
mmemchuza baba riz akajitamkia kuwa 30 april tunapiga kura ya maoni... Tunapiga wapi wakati hata mikoa mitatu ya zoezi la kujiandikisha upigaji haijafikia.. Kweli nimeamini baba riz ni dhaif.. Hata akichuuzwa anaelekea tu. 30 apr hiyooooo tuone hilo zoezi kama litafanyika.
Mmemchuza baba riz akajitamkia kuwa 30 APRIL tunapiga kura ya maoni... Tunapiga wapi wakati hata mikoa mitatu ya zoezi la kujiandikisha upigaji haijafikia.. Kweli nimeamini baba riz ni dhaif.. Hata akichuuzwa anaelekea tu. 30 APR hiyooooo tuone hilo zoezi kama litafanyika.
soma hiyo katiba acha longolongo... WE C UMEINGIA JUZI TU HUMU JF !! SASA HAYA NDO MAMBO YA HUMU VUMILIA TU UTAZOEA
nawapongeza sana sana maaskofu kwa kazi wanayoifanya ya kuelimisha jamii ya wasiojitambua.. Wajitambue na kuelewa kuwa kitabu kilichotungwa na fisadi chenge and company hakifai hata kufungia maandazi.
Na siku yoyote kama itatokea tukapige kura ya ''hapana'' kwa hicho kitabu chao cha wasanii.
Hivi Katiba Inayopendekezwa imeandikwa kwa maudhui yaliyotolewa na Chenge au Wajumbe zaid ya 400 wa Bunge Maalum la Katiba....Nikijibiwa hili nitajuwa uwezo wa huyu mtu wa kufikiri na kuchambua mambo
soma hiyo katiba acha longolongo... WE C UMEINGIA JUZI TU HUMU JF !! SASA HAYA NDO MAMBO YA HUMU VUMILIA TU UTAZOEA
bado hujitambui, umejifanya kuedit sehemu uloandika uwongo, namna hiyo ndo tuseme wewe ni great thinker au thinkerless?!! Hapo ndo tunapata kujua we ni kiazi na hutufai humu ndani kwani unapotosha umma na wana jf kwa vitu usivyovijua. Hatukuamini tena wewe!!
Hapo chini nimeattach hiko ulichopost mwanzo ukajibiwa lakini bila aibu umejifanya kubadilisha, hahaha it is too late wewe muongo sana na msanii!! Aibu hiyooo.
View attachment 236174
inawauma sana lkn vumilieni tu. Mwisho wa usanii wenu umefika
eheee wee zombi uliyeingia zamani tena na kititle chako cha jf expert mbona huna jipya unatoa mishuzi ya maharage humu hata hatukuelewi wenzio wameona unaongea pumba huna hoja wakajiunga ili kukuelimisha uache mishuzi yako isitoshe forum hii haina mtu mwenye hati miliki ni ya watanzania wote na tunaiheshimu sna,kama ulitamani ukae humu wewe na ndugu zako umechemka kama ni kuharibu watu wanaweza sana kuwa mstaarabu acha tabia za kibokoharamu.
we ndo imekuuma unapotosha watu humu ndani, hata tarehe za kura ya maoni huijui unaanza kudanganya watu, umeshachemka wewe kidudu, we muongo hufai kabisaa humu ndani.
wewe mapengo mburula na ccm yako ndio bokoharam ila hamjitambui kama ni bokoharamu...
Mwaka huu lazima lazima tuwainamishe mpate maumivu polepole.
we ndo imekuuma unapotosha watu humu ndani, hata tarehe za kura ya maoni huijui unaanza kudanganya watu, umeshachemka wewe kidudu, we muongo hufai kabisaa humu ndani.
wewe ndio ucwe lafa humu ndani kwa kukuelimisha makamanda wooote wanajitambua na tunajua nini kinachoendelea.
afu natamani nikugegedeee ... Upo wapi nikuzukie unaonekana bado weyeee
huna hoja wewe muongo mkubwaaa eti jk kasema kura ya maoni taehe 30 oktoba!! Jk wa wapi huyo? Au kwenu? Acha usanii humu ndani, tumekustukia wewe ni lijitu liongo na usiefaa humu ndani, ondoka sura mbaya wewe!!
afu natamani nikugegedeee ... Upo wapi nikuzukie unaonekana bado weyeee
mkubwa hatishiwi nyoka wa kuchora wewe kidudu mtu, kama maneno yangu yanakuumiza akili jinyonge, hatukutaki mtu gani usiyekuwa mzalendo na nchi yako,!! Khaaa hilooooo kubwa jinga weeee!!
mtachonga sana lakni ukweli unabaki palepale wananchi hawataki usanii wa fisadi chenge and company tunawashukuru sana maaskofu kuweka wazi usanii wenu wa ccm. Siku yoyote mtakayoamua kura ipigwe majibu yatakuwa ni ''hapana''
je unasemaje kuhusu rasimu ya warioba je ameiandika chumbani kwake au aliyoyasema ni maoni ya wanawanchi hii tukufu? Na kwanini baba riz amemtosa warioba akidhani ile rasimu ametoka nayo nyumbani kwake?
Mtahangaika sana nyie chekechea wa lumumba siku ikifika ni kura ya hapana tu.