We Mwalla hebu kuwa na staha. Sijui ni mfupi kama Mwalla ndo maana unafanya mambo ya kiufupi ufupi. Umesoma hadi Fomu Seven nini! Maana naona hata reasoning yako imekaa kama ya chekechea. Lakini si kosa lako si ajabu hata lishe ilikuwa shida ukadumaa hata ubongo. Ashukuriwe Mungu hukupata utapiamlo wa mdomo ndo maana unaweza kuongea. Ndugu yangu hujacchelewa siku hizi kuna QT hebu nenda kajiandikishe hata ukipata divisheni Five lakini utaambulia walau kujenga hoja. Naona Katiba Inakuzidi sana upeo ndo mana hata ukiisoma unashindwa kupata concept. Kuhusu ada ukiwa mpole na mnyenyekevu nami nawezachangia katika masomo yako kwani ndo Uzalendo unaosisitizwa katika Katiba Inayopendekezwa. SOURCE: bmbalamwezi.
soma hiyo katiba acha longolongo... We c umeingia juzi tu humu jf !! Sasa haya ndo mambo ya humu vumilia tu utazoea
mwalla stop dreaming during the day! Read the constitution and come up with strong and substantial arguments. Au nimekutesa labda lugha hiyo haipandi. Kama haipandi nasema kasome katiba ili uweze kuwa na hoja yenye mashiko
mwala wewe si mtu bali ni msukule ulotumwa na ukawa, hoja zako hazina logic kabisaaa, hujui kutoa hoja, ebu epuka makelele kama debe lisilo na kitu humu jf, unajifanya bingwa wa kujibu vitu usivyovijua, katiba yenyewe hata hujui ina rangi gani, kama unabisha nambie ina rangi gani? Sasa kubali ukweli wa mambo, kuwa mzalendo, isome katiba inayopendekezwa na kisha fanya maamuzi sahihi kuipigia kura katiba hiyo kwa manufaa yako na ya watoto wako.
hii ndio tabu ya kuanza kukimbia wakati hata kutambaa hujaanza... Shiiiiiiidah!!!
We shukuru unaongea na mimi japo hunijui
pambaffff!!! Peleka huko hyo takataka yenu na mwizi wenu chenge. Kaisomeni afu kisha fungieni maandadhi
we ndugu mwalla hebu kuwa na staha. Sijui ni mfupi kama mwalla ndo maana unafanya mambo ya kiufupi ufupi. Umesoma hadi fomu seven nini! Maana naona hata reasoning yako imekaa kama ya chekechea. Lakini si kosa lako si ajabu hata lishe ilikuwa shida ukadumaa hata ubongo. Ashukuriwe mungu hukupata utapiamlo wa mdomo ndo maana unaweza kuongea. Ndugu yangu hujacchelewa siku hizi kuna qt hebu nenda kajiandikishe hata ukipata divisheni five lakini utaambulia walau kujenga hoja. Naona katiba inakuzidi sana upeo ndo mana hata ukiisoma unashindwa kupata concept. Kuhusu ada ukiwa mpole na mnyenyekevu nami nawezachangia katika masomo yako kwani ndo uzalendo unaosisitizwa katika katiba inayopendekezwa.
hujatukanwa unalia je uki.......
yaani wewe hata udenda wa shingo ndo unakuanza afu unapata wapi nguvu ya kunena hayo.. We wakunifundisha mimi weyee na mapengo yako hayo!!! Subiri ukue uote meno utambae uinuke upige hatua uanze kuita baba.. Mamaa!! Afu ndo ulete haya makalio yako ntakujibu unavyotaka.
mmemchuza baba riz akajitamkia kuwa 30 october tunapiga kura ya maoni... Tunapiga wapi wakati hata mikoa mitatu ya zoezi la kujiandikisha upigaji haijafikia.. Kweli nimeamini baba riz ni dhaif.. Hata akichuuzwa anaelekea tu. 30 oct hiyooooo tuone hilo zoezi kama litafanyika.
nawapongeza sana sana maaskofu kwa kazi wanayoifanya ya kuelimisha jamii ya wasiojitambua.. Wajitambue na kuelewa kuwa kitabu kilichotungwa na fisadi chenge and company hakifai hata kufungia maandazi.
Na siku yoyote kama itatokea tukapige kura ya ''hapana'' kwa hicho kitabu chao cha wasanii.
hujitambui wewe, elimisha umma waelewe uzuri wa katiba hii inayopendekezwa, isome uielewe acha kudanganya na kushawishi watu humu jf.
naona sasa unachanganyikiwa wewe kidudu mtu, hivi leo ni siku gani na tarehe ngapi? Je unajua ulizaliwa lini, je una uhakika kama jana ucku ulikula? Je jk alisema kura ya maoni ni tarehe hiyo 30 october uloitaja hapo juu? Hiyo tarehe uloitaja ni tarehe ya uchaguzi mkuu wewe, usiote mchana mchana kweupe au maneno yangu yamekufanya mpaka umepoteza network kiac unaenda bila control? Pole sana na hapo bado huu ni mwanzo tu utaendelea kuchangayikiwa mpaka utajikuta unatembea uchi!!
nikasome katiba ya nani??? Au hii ya fisadi chenge na kampuni yake???
Kama ndo hii bana haisomeki kabsaaa!!!
nikasome katiba ya nani??? Au hii ya fisadi chenge na kampuni yake???
Kama ndo hii bana haisomeki kabsaaa!!!