Tusipo fuzu AFCON itakuwa aibu yani Burundi tayari amesha ungana na Kenya na Uganda kwenda AFCON

Negative mentality ya watanzania wengi, ndio maana tunaweza tusiende. Ndio maana weqe ukiwekwa ktk job interview na wakenya au wemgine, hao wemgine watapata kazi sababu ya mentality yako. Kuna uwezelano hata baadhi ya wachezaji wanafikiria ujinga kama wewe.
Kishtuka shuk wakT kumekuch ni US.nge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Burundi ni nchi ndogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini leo wamefuzu walikuwa wanahitaji dro tu zidi ya Gabon na wameipata mechi imeisha moja moja
Yani kwa kweli tusipo fuzu itakuwa aibu na mi najua hatuwezi kufuzu
Maana hata tukishinda pia bado haitoshi inabidi pia Cap varde aifunge Lesotho
La sivyo ataenda Lesotho
Sasa ona hapo jinsi tilivyo mizigo yani tunataria Uganda watubebe na Cap varde watubebe kwa kumfunga Lesotho

Sent using Jamii Forums mobile app
Burundi wametuzidi sana mipango ya soka. Angalia timu ngapi zina makocha wa Burundi hapa Tanzania.
Want train makocha na kuendeleza soka la vijana. Sisi tunapiga siasa tena zile za maji taka.
 
Cape labda wauze mechi maana kamari imeharibu soka ila Lesotho wanafungwa hawana ubavu wa kutoa sare pale...
Mkuu wewe anagalia yako hayo ya huko hatakuhusu badaye?! Kwani ungewafunga kule kwao hao Lesotho wala usingekuwa na mahesabu hayo?!! Sasa yeye akifungwa na wewe ukafungwa hapa nani anaenda?
 
Mkuu wewe anagalia yako hayo ya huko hatakuhusu badaye?! Kwani ungewafunga kule kwao hao Lesotho wala usingekuwa na mahesabu hayo?!! Sasa yeye akifungwa na wewe ukafungwa hapa nani anaenda?
Fitna za mpira huzijui mkuu mpaka utangaziwe mechi ya hapa imeisha na tumeshinda...
 
Stars itatolewa kwa sababu za chuki na laana za kisiasa zilizoingizwa kwenye mchezo huo na bashite mie mwenyewe siendi uwanjani hata kama ingekuwa bule

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo huko kote hadi Taifa stars ikaitwa kichwa cha mwendawazimu alikua ni bashite analeta LAANA?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Upo sahihi kabisa , Amunike anafilosofi ipi anaidhani itampa ushindi wakati haikujaribiwa kwa mechi za trayo ili aweze kusema huyu anaiweza na huyu awe supasub .Tazama makocha wengi si wa mtaani wala wa vilabu vikubwa kama walivyo waalimu ,huwatia wanafunzi wao maajaribio kuona kechaap yao LAKINI Amunike sijawahi sikia timu ya sasa imefanya testi hata na kenya au hiyo Burundi . Mimi mtaniacha peke yangu uwanjani nadhani HATUENDI , tumuulize Zahera au Aussens haya ndo matayarisho yakutupeleka AFCONSijui
Hatukujiandaa ipasavyo, tunaishia taifa leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fitina za mpira zinafanywa kwa watu wenye uwezo!! Refer ile mechi ya under17 na burundi,
Mkuu Afrika mashariki mpango ulikua ni kupeleka Timu zote sisi hao wakina kiria ndio wamemetuharibia hapo mwanzo walikua hawaamini kama tutapita ndio shida waliweka mechi ya Lesotho uwanja wa Chamazi kweli Timu pinzani si inakua kama ipo kwao hapo...kiria na nduguze wanachojua ni kupanga matumizi ya hela wanazopata kutoka FIFA huku mikoa ikiwa hakuna hata mipira mizuri ya kuchezea ukienda nao tofauti wanakufungia usijihusishe na soka mbinu ya Blatter...
 
Hapo ndio kuna tatizo la mpira wa ncchi hii!! Huwa wanaingia kwenye mshindano kama kuwakilisha tu na sio kushindana, inapotoke zari ndio utawaona oho kumbe tunaweza na kuanza kuwapa watu matumaini ambayo hayapo, michezo ni uwekezaji wa muda mrefu sio kizimamoto!! Ila ndio njia ambayo tumeiamua
 
Mkuu Afrika mashariki mpango ulikua ni kupeleka Timu zote sisi hao wakina kiria ndio wamemetuharibia hapo mwanzo walikua hawaamini kama tutapita ndio shida waliweka mechi ya Lesotho uwanja wa Chamazi kweli Timu pinzani si inakua kama ipo kwao hapo...kiria na nduguze wanachojua ni kupanga matumizi ya hela wanazopata kutoka FIFA huku mikoa ikiwa hakuna hata mipira mizuri ya kuchezea ukienda nao tofauti wanakufungia usijihusishe na soka mbinu ya Blatter...
Wasomali bhana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom