Tusipo fuzu AFCON itakuwa aibu yani Burundi tayari amesha ungana na Kenya na Uganda kwenda AFCON

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
790
1,265
Burundi ni nchi ndogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini leo wamefuzu walikuwa wanahitaji dro tu zidi ya Gabon na wameipata mechi imeisha moja moja
Yani kwa kweli tusipo fuzu itakuwa aibu na mi najua hatuwezi kufuzu
Maana hata tukishinda pia bado haitoshi inabidi pia Cap varde aifunge Lesotho
La sivyo ataenda Lesotho
Sasa ona hapo jinsi tilivyo mizigo yani tunataria Uganda watubebe na Cap varde watubebe kwa kumfunga Lesotho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania Hawathamini utaifa wao Mkuu wengine na Kaptula zao na Sendoz zao za yeboyebo tayar wanaeneza uvumi kwamba jezi zina alama ya Kujumlisha yaaaani hivyo kesho dini yao isivae. Ujinga tuuu Vichwani mwetu. Shithole
 
Nani kakwambia ni alama ya jumlisha
 
Leo Star wakishinda balaa na wasiposhinda balaa, kama kuna fitna flani hivi, time will tell.
 
Burundi ni nchi ndogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini leo wamefuzu walikuwa wanahitaji dro tu zidi ya Gabon na wameipata mechi imeisha moja moja
Yani kwa kweli tusipo fuzu itakuwa aibu na mi najua hatuwezi kufuzu
Maana hata tukishinda pia bado haitoshi inabidi pia Cap varde aifunge Lesotho
La sivyo ataenda Lesotho
Sasa ona hapo jinsi tilivyo mizigo yani tunataria Uganda watubebe na Cap varde watubebe kwa kumfunga Lesotho

Sent using Jamii Forums mobile app
Negative mentality ya watanzania wengi, ndio maana tunaweza tusiende. Ndio maana weqe ukiwekwa ktk job interview na wakenya au wemgine, hao wemgine watapata kazi sababu ya mentality yako. Kuna uwezelano hata baadhi ya wachezaji wanafikiria ujinga kama wewe.
 
Burundi ni nchi ndogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini leo wamefuzu walikuwa wanahitaji dro tu zidi ya Gabon na wameipata mechi imeisha moja moja
Yani kwa kweli tusipo fuzu itakuwa aibu na mi najua hatuwezi kufuzu
Maana hata tukishinda pia bado haitoshi inabidi pia Cap varde aifunge Lesotho
La sivyo ataenda Lesotho
Sasa ona hapo jinsi tilivyo mizigo yani tunataria Uganda watubebe na Cap varde watubebe kwa kumfunga Lesotho

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini Lesotho akidroo na Cape Verde na sisi tukashinda si tumefuzu au?
 
TFF wanahusika kufanya vibaya kwa Stars wao mechi za mwanzo hawakuzipa kipaumbele yaani mechi ya kwanza waliipeleka Azam complex wakati ilitakiwa wapelekwe sehemu yeyote yenye washabiki wengi wanakuja kuamka mechi zimebaki mbili TFF ndio wakulaumiwa...
 
Tusipofuzu ni makosa ya benchi la ufundi. Kosa kubwa lilifanyika katika mechi dhidi ya Lesotho.
 
Watanzania Hawathamini utaifa wao Mkuu wengine na Kaptula zao na Sendoz zao za yeboyebo tayar wanaeneza uvumi kwamba jezi zina alama ya Kujumlisha yaaaani hivyo kesho dini yao isivae. Ujinga tuuu Vichwani mwetu. Shithole
Huyo aliesambaza huu uvumi wa alama ya kwenye jezi akamatwe na afungwe maisha, shenzi kabisa..!!!
 
Burundi ni nchi ndogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini leo wamefuzu walikuwa wanahitaji dro tu zidi ya Gabon na wameipata mechi imeisha moja moja
Yani kwa kweli tusipo fuzu itakuwa aibu na mi najua hatuwezi kufuzu
Maana hata tukishinda pia bado haitoshi inabidi pia Cap varde aifunge Lesotho
La sivyo ataenda Lesotho
Sasa ona hapo jinsi tilivyo mizigo yani tunataria Uganda watubebe na Cap varde watubebe kwa kumfunga Lesotho

Sent using Jamii Forums mobile app
Safari yetu tuliitibua Chamazi kwa kukubali Ku draw na Lesotho . Mengine ni uswahili tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Burundi ni nchi ndogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini leo wamefuzu walikuwa wanahitaji dro tu zidi ya Gabon na wameipata mechi imeisha moja moja
Yani kwa kweli tusipo fuzu itakuwa aibu na mi najua hatuwezi kufuzu
Maana hata tukishinda pia bado haitoshi inabidi pia Cap varde aifunge Lesotho
La sivyo ataenda Lesotho
Sasa ona hapo jinsi tilivyo mizigo yani tunataria Uganda watubebe na Cap varde watubebe kwa kumfunga Lesotho

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishasema toka zaman, 3:1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom