TUSIMLAUMU waziri Mkuu TANGA-NYKA kutojiuzulu wala UTEUZI KUTOTENGULIWA MPAKA SASA!!!

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
1,846
2,000
Nimetafakari kwanini? bado wakati Serikaili dola inanuka damu rejea ripoti yaliyofanywa na dola

Akiwa mtendaji mkuu wakati mawaziri wamewajibika yeye hajawajibika.

Nikutokana na kuwa KWELI mjengoni na hata Ba Riz 1 aliposikia HAKUONA TATIZO KWENYE KAULI Ya Kiserikali mjengoni,

"TUMECHOKA WAPIGWE TU"

Matunda ya Serikali iliyochoka hakuna kujali utu wala kuheshimu na wala kufuata taratibu.
Kupigana ndio suluhisho + ukimjulisha na liwalo liwe matokeo ndo hayo yanayotarajiwa

Atajiuzulu je wakati ni mtendaji wa Serikali iliyochoka??

Si busara KUMLAUMU mtu aliyekuambia kachoka we ukamwacha aendelee na kazi iliyomchosha mpaka akasema, "Liwalo na liwe ndo matokeo.

Ye mwenyewe haoni haja kuwajibika kwa makosa ya waliochini kawaambia mawaziri wanawajibika kwa makosa ya walio chini yao
Swali la kujiuliza mbona yeye hawajibiki kwa makosa ya waliochini yake kama mtendaji mkuu au ndo wapigwe tu ndo analichotarajia??

Ni mtazamo tu naomba kuwasilisha.

Hebu tuelimishane kwanini

1.HAJIUZULU
2.HAWAJIBISHWI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom