kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Tushaamua hatuoi
Usitupangie uzi wako Kamwe hautabadili mawazo yetu
Count on me2025 nitatafuta mdada wa kuzaa nae, happy kuoa sahau kabisa
Matukio unapigwa tu kama yapo, haijalishi umeoa au single.Penzi jipya bwana !
Sawa mkuu we oa lakini ukishapigwa tukio moja la kiustadi usisite kuleta mrejesho ..
Wanaogopa bure , hawajui kuwa mahusiano ya watu wanaojiita single huku wanadibuana ,ni mahusiano umiza kichwa sana.Habarini wana jamvi wa MMU.natumai ni wazima wa afya .
Ningependa nizungumzie jambo moja tu.
Kumekuwa na desturi ya wa2 kujazana ujinga na mabaya tu kuhusu ndoa hasa kwa wanaume.tunasema kwamba hakuna raha inayokosa karaha , hakuna furaha bila huzuni, hakuna uzuri bila ubaya.Na hakuna faida inayokosa hasara , ishu ni kuangalia je hiki kitu kina hasara kubwa kuliko faida au faida kubwa kuliko hasara.
Kama nilivyokwisha tangulia hapo mbele, vijana tunaambiana ubaya ty(upande mmoja tu wa ndoa) sijawahi kuona mtu akaelezea pande zote mbili za ndoa ,Ndoa ina raha zake pia ina karaha zake , ina uzuri wake pia ina shida zake.
Kwenye mazuri tutaenda pamoja na kwenye shida tutavumiliana.
Ndoa siyo ngumu kama wa2 wanavyofikiria. Mimi ntavyoishi kwenye ndoa ni tofauti na yule atakavyoishi kwenye ndoa hata kama tutapewa mke mmoja.
Ishu ni kuchanga karaha zako vizuri , upate wa kuendana na kufanana nae.wake bora wapo wengi tu ila tunawapa nafasi wasiofaa kuingia kwenye ndoa.
Tusikaririshane bhna kwamba ndoa kwa sasa hazifai, tuseme walikosea kuchagua wakapata wasiofanana nao.
NB; vijana acheni uoga , kuwa mwanaume wa kwel, mwanaume wa kweli hakimbii tatizo suluhisho ni kulisolve tu.
Ndoa tamu ukipata wa kufanana nae(mke bora)
Kuoa kama hujajipanga kiakiri si kushauri Kuoa hao viumbe sio kabisa acha.....Wanaogopa bure , hawajui kuwa mahusiano ya watu wanaojiita single huku wanadibuana ,ni mahusiano umiza kichwa sana.
Ndiyo maana single ndiyo wanao ongoza kwa kujinyonga /kujiua sababu ya mapenzi.
Mke anakufanya urelax, unapata mtu ambaye unaongea nae mambo ya ndani ya moyo wako.
Hauna hofu kwani ndiye mama wa watoto wako.
Wewe ndiye uliyeruhusiwa rasmi na Mungu na binadamu kumvua ile nguo yake ya mwisho.
Ndio maana ukilala nyumbani usingizi unakuwa mwingi kuliko guest ,kwani akili inakuwa imerelax.
Oeni mpate raha ya kuwa na mke.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app