Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 297
- 285
Hapana sio siku ya mapumziko. Utahesabiwa pale ulipo.... hivi siku ya sensa (23.08.2022) ni siku ya mapumziko kitaifa? Ili wananchi wengi kadiri inavyowezekana wabaki majumbani mwao kutoa taarifa zao na za familia zao?
... makarani wa sensa watatembelea maofisini, mashambani, viwandani, migodini, n.k? If so, good! Inabidi vituo vya sensa viwekwe barabara kuu na magari yasimamishwe abiria wahesabiwe; vivyo airports, n.k.Hapana sio siku ya mapumziko. Utahesabiwa pale ulipo.
Bar watapita?Hapana sio siku ya mapumziko. Utahesabiwa pale ulipo.
ingekuwa ni kutoa maoni ningependekeza iwe Jumapili...Hapana sio siku ya mapumziko. Utahesabiwa pale ulipo.
Yeah. Makarani watatembea kila sehemu. Kwahiyo hata ofisini watafika... makarani wa sensa watatembelea maofisini, mashambani, viwandani, migodini, n.k? If so, good! Inabidi vituo vya sensa viwekwe barabara kuu na magari yasimamishwe abiria wahesabiwe; vivyo airports, n.k.
Hili haliwezi kufanyika. Usiwe na wasi wasiMimi Niko tiyari kuhesabiwa, ila ole wenu mtumie no yangu kutengeneza data za huongo katika uchaguzi wa 2025 , msije sema sikutoa angalizo,
Ila tofauti na hilo Sina pingamizi .
Kila sehemu mpka guest house.Bar watapita?
SawaHili haliwezi kufanyika. Usiwe na wasi wasi