GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,738
- 109,177
Mkuu pole naona imekuuma sana Simba sc kipigwa hadi kachakaa, pole yote maisha, njoo ule viporo vyako kwa hisani ya tff na bodi ya ligi ili ukashiriki tena mwakani. Ila jipange ukienda kichwa kichwa vitasa vinakuhusu, ni mwendo wa hamsa hamsaMwaka 1956...Yanga 0 Raja Casablanca 7
Mwaka 1960...Yanga 0 Orlando Pirates 10
Mwaka 1964...Yanga 0 Constatine 9
Mwaka 1969...Yanga 0 Al Ahly 12
Mwaka 1972...Yanga 0 TP Mazembe 12
Mwaka 1985...Yanga 0 Es Setif 11
Mwaka 1988...Yanga 0 Kaizer Chiefs 13
Teknolojia ya Mzungu na Kumbukumbu huwa haziongopi na wala hazifutiki Milele Daima Amina.
Nawasilisha.
Weka na ya Uturuki.Mwaka 1956...Yanga 0 Raja Casablanca 7
Mwaka 1960...Yanga 0 Orlando Pirates 10
Mwaka 1964...Yanga 0 Constatine 9
Mwaka 1969...Yanga 0 Al Ahly 12
Mwaka 1972...Yanga 0 TP Mazembe 12
Mwaka 1985...Yanga 0 Es Setif 11
Mwaka 1988...Yanga 0 Kaizer Chiefs 13
Teknolojia ya Mzungu na Kumbukumbu huwa haziongopi na wala hazifutiki Milele Daima Amina.
Nawasilisha.
Nimeitafuta ' Google ' hata Wao hawana labda ipo tu ' Ubongoni ' mwako kulikojaa ' Pumba ' tupu.
Mbumbu unashida, Ligi ya Tanzania bara I meanza 1963 sasa Yangaa Lifungwa ndoton?Mwaka 1956...Yanga 0 Raja Casablanca 7
Mwaka 1960...Yanga 0 Orlando Pirates 10
Mwaka 1964...Yanga 0 Constatine 9
Mwaka 1969...Yanga 0 Al Ahly 12
Mwaka 1972...Yanga 0 TP Mazembe 12
Mwaka 1985...Yanga 0 Es Setif 11
Mwaka 1988...Yanga 0 Kaizer Chiefs 13
Teknolojia ya Mzungu na Kumbukumbu huwa haziongopi na wala hazifutiki Milele Daima Amina.
Nawasilisha.
Jamani naombeni matokeo ya Simba jana, mana nimekutana naye kachakaa sasa sijui kapatwa na kipigo au yeyey ndiye katoa kipigo
Sent using Jamii Forums mobile app
,walikung'utwa 4-1 na kiherehere kimewaisha,miji imetulia tulii.
Sent from Nokia 7 Plus
Weka link!!Mwaka 1956...Yanga 0 Raja Casablanca 7
Mwaka 1960...Yanga 0 Orlando Pirates 10
Mwaka 1964...Yanga 0 Constatine 9
Mwaka 1969...Yanga 0 Al Ahly 12
Mwaka 1972...Yanga 0 TP Mazembe 12
Mwaka 1985...Yanga 0 Es Setif 11
Mwaka 1988...Yanga 0 Kaizer Chiefs 13
Teknolojia ya Mzungu na Kumbukumbu huwa haziongopi na wala hazifutiki Milele Daima Amina.
Nawasilisha.
Link ni maruweruwe ya mwanzisha mada baada ya kipigo cha Lubumbashi. Hizo tarehe anazotaja hata FAT (iliyokuja kubadilishwa kuwa TFF) haikuwako, mashindano makubwa kabisa yalikuwa ni kombe la Gossage na Sunlight Cup (baadaye Taifa Cup). Tanganyika bado haijapata Uhuru wakati huo na kwa hivyo haikuwa ikishiriki Kombe hata la Dunia, seuze la klabu.
Hiyo ni ya 1998duh kwa hiyo hatujavunja rekodi adimu za ndala ngoja nitembee kifua mbele vipi ile ya raja cassablanca 6 ndala 0