Tusijifanya tumesahau na si vibaya sana kama sote tukajikumbusha juu ya haya ' Maajabu ' ambayo hadi leo hayajafutika Jangwani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,068
107,560
Mwaka 1956...Yanga 0 Raja Casablanca 7
Mwaka 1960...Yanga 0 Orlando Pirates 10
Mwaka 1964...Yanga 0 Constatine 9
Mwaka 1969...Yanga 0 Al Ahly 12

Mwaka 1972...Yanga 0 TP Mazembe 12
Mwaka 1985...Yanga 0 Es Setif 11
Mwaka 1988...Yanga 0 Kaizer Chiefs 13

Teknolojia ya Mzungu na Kumbukumbu huwa haziongopi na wala hazifutiki Milele Daima Amina.

Nawasilisha.
 
Mwaka 1956...Yanga 0 Raja Casablanca 7
Mwaka 1960...Yanga 0 Orlando Pirates 10
Mwaka 1964...Yanga 0 Constatine 9
Mwaka 1969...Yanga 0 Al Ahly 12

Mwaka 1972...Yanga 0 TP Mazembe 12
Mwaka 1985...Yanga 0 Es Setif 11
Mwaka 1988...Yanga 0 Kaizer Chiefs 13

Teknolojia ya Mzungu na Kumbukumbu huwa haziongopi na wala hazifutiki Milele Daima Amina.

Nawasilisha.
Mkuu pole naona imekuuma sana Simba sc kipigwa hadi kachakaa, pole yote maisha, njoo ule viporo vyako kwa hisani ya tff na bodi ya ligi ili ukashiriki tena mwakani. Ila jipange ukienda kichwa kichwa vitasa vinakuhusu, ni mwendo wa hamsa hamsa
 
Mwaka 1956...Yanga 0 Raja Casablanca 7
Mwaka 1960...Yanga 0 Orlando Pirates 10
Mwaka 1964...Yanga 0 Constatine 9
Mwaka 1969...Yanga 0 Al Ahly 12

Mwaka 1972...Yanga 0 TP Mazembe 12
Mwaka 1985...Yanga 0 Es Setif 11
Mwaka 1988...Yanga 0 Kaizer Chiefs 13

Teknolojia ya Mzungu na Kumbukumbu huwa haziongopi na wala hazifutiki Milele Daima Amina.

Nawasilisha.
Weka na ya Uturuki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1956...Yanga 0 Raja Casablanca 7
Mwaka 1960...Yanga 0 Orlando Pirates 10
Mwaka 1964...Yanga 0 Constatine 9
Mwaka 1969...Yanga 0 Al Ahly 12

Mwaka 1972...Yanga 0 TP Mazembe 12
Mwaka 1985...Yanga 0 Es Setif 11
Mwaka 1988...Yanga 0 Kaizer Chiefs 13

Teknolojia ya Mzungu na Kumbukumbu huwa haziongopi na wala hazifutiki Milele Daima Amina.

Nawasilisha.
Mbumbu unashida, Ligi ya Tanzania bara I meanza 1963 sasa Yangaa Lifungwa ndoton?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1956...Yanga 0 Raja Casablanca 7
Mwaka 1960...Yanga 0 Orlando Pirates 10
Mwaka 1964...Yanga 0 Constatine 9
Mwaka 1969...Yanga 0 Al Ahly 12

Mwaka 1972...Yanga 0 TP Mazembe 12
Mwaka 1985...Yanga 0 Es Setif 11
Mwaka 1988...Yanga 0 Kaizer Chiefs 13

Teknolojia ya Mzungu na Kumbukumbu huwa haziongopi na wala hazifutiki Milele Daima Amina.

Nawasilisha.
Weka link!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Link ni maruweruwe ya mwanzisha mada baada ya kipigo cha Lubumbashi. Hizo tarehe anazotaja hata FAT (iliyokuja kubadilishwa kuwa TFF) haikuwako, mashindano makubwa kabisa yalikuwa ni kombe la Gossage na Sunlight Cup (baadaye Taifa Cup). Tanganyika bado haijapata Uhuru wakati huo na kwa hivyo haikuwa ikishiriki Kombe hata la Dunia, seuze la klabu.
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom