kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,363
- 4,853
Ni kweli kabisa ubabaishaji tu mkuu. Sasa nikwambie kitu kaweke bid ya 500B tumpe Mo vihela vyake utupeleke nchi ya ahadi.Mpaka sasa anayejiita mwekezaji hajaweka ile pesa shilingi bilioni 20 kama thamani ya hisa ya asilimia 49. Timu inasajili wachezaji wa laki 5 kama akina kibu itafika wapi? Angalia yanga wamecheza michezo pungufu ila ndio wanaongoza ligi, alafu kuna mbumbumbu wanasema tutachukua kombe, labda kombe la kahawa.
Mimi sina uwezo huo, huyo mwenye uwezo wa hyo 20 b ameweka? Kwahyo nami nikahaidi 500b kiutapeli? Utapeli siwezi.Ni kweli kabisa ubabaishaji tu mkuu. Sasa nikwambie kitu kaweke bid ya 500B tumpe Mo vihela vyake utupeleke nchi ya ahadi.
Then kaa kwa kutuliaMimi sina uwezo huo, huyo mwenye uwezo wa hyo 20 b ameweka? Kwahyo nami nikahaidi 500b kiutapeli? Utapeli siwezi.
Ntadai haki kama mwanachama sintotulia.Then kaa kwa kutulia
Nenda Makao makuu ya Simba kaonane na BarbaraNtadai haki kama mwanachama sintotulia.
Unavyohangaika na Mo!! kama kuku anaetafuta sehemu ya kutagia!! mwana uto mkubwa! ila hongereni kwa kuingia makundi ya walioshindwa!!Wakuu kwema?
Ukitizima kwa jicho la kiufundi hii timu yetu ya simba ni timu dhaifu, well tutasema tumefuzu hatua ya makundi klabu bingwa Africa lakini tumekutana na timu gani? Huwez kujisifu kwa kupigana na mlevi.
Tizama mechi ya Azam, Singida na Yanga, simba yetu ikikutana na timu iliyo compact hatutoboi, ukweli usemwe. Tuna wachezaji ambao ni 'average' sana, mtu kama kibu ataiifikisha wapi timu?
Aya twende kwenye menejinent, huku ndio ujanja ujanja, walikua wanajificha kwenye kivuli cha Yanga kufungwa kimataifa. Mpaka sasa kocha mkuu Mgunda hana mkataba, hawajui kama wamuongezee au watafute kocha mpya.
Mpaka sasa anayejiita mwekezaji hajaweka ile pesa shilingi bilioni 20 kama thamani ya hisa ya asilimia 49. Timu inasajili wachezaji wa laki 5 kama akina kibu itafika wapi? Angalia yanga wamecheza michezo pungufu ila ndio wanaongoza ligi, alafu kuna mbumbumbu wanasema tutachukua kombe, labda kombe la kahawa.
Mo dewj tuachie timu yetu, ondoka na huyo dada yako babra, wanachama tunataka 20b hatuwezi kuendelea kua mambumbumbu kiasi hiki.
Yani wanajiropokea tu wkt wakiachiwa timu hamna wanachofanya. Sijui wanadhani ni kaz rhs kuendesha club. Mo anajitahid sn na km wanaona anazingua basi waweke hela zao tuoneWakati mwingne tuwe na shukran wakuu
Kaz wanaoyoifanya Mohamed dewji said bakhresa na ghalib (gsm) n kubwa Sana ndugu zangu
Tuwe na neno la shukrani kwao
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mimi ni simba lunyasiUnavyohangaika na Mo!! kama kuku anaetafuta sehemu ya kutagia!! mwana uto mkubwa! ila hongereni kwa kuingia makundi ya walioshindwa!!
Ndio tatizo letu sie simba, ndio maana tunaitwa mbumbumbu... mtu akijenga hoja mnakimbilia kumuita utopolo.Thread ya kiutopolo kabisa hii. Alishajisemea manara imetosha.
Kabisa mkuuMo tuache na timu yetu tumekuchoka