Bila shaka wewe sio mpenz wa mpira,vile vile hata maji pia,starehe yako itakuwa wanawake tuKwani hio VAR ni nini?
Bila shaka wewe sio mpenz wa mpira,vile vile hata maji pia,starehe yako itakuwa wanawake tu
Video Assistance RefereeKwani hio VAR ni nini?
Bila Shaka wewe ni mwelimishaji mzuriVideo Assistance Referee
Ndio MkuuBila Shaka wewe ni mwelimishaji mzuri
Msaada wa Runinga kwa Refa.Wakati DSTv wakiwa peke yao Ktk dunia ya kidigitali hapa bongo, wakaamua kuleta msamiati unaitwa "DIKODA" ambapo kikazoeleka Kiasi hata BAKITA walipofafanua kuwa kifaa husika sio dikoda, ni KISIMBUSI, imekuwa Kazi watu kuzoea!
Kosa lingine tukalifanya kwenye PASSWORD, tulichelewa na matokeo yake Hata tulipoambiwa ni NYWILA bado tumekuwa wazito!
Sasa huko duniani Kuanzia WC, Bundesliga, La liga kote huko VAR imeshika kasi, naomba tujiandae endapo ikifika hapa kwetu, badala ya VAR, sisi waswahili tutaiitaje hii teknolojia? Au ndio tutatohoa na kuitwa hivo hivo?
Nawakaribisha kwa mapendekezo!
Wachawi tunajua kiswahili chake maana tunatumia usiku kuhakikisha haupiti eneo lenye zindiko, muulze babu au bibi yako atakuambiaWakati DSTv wakiwa peke yao Ktk dunia ya kidigitali hapa bongo, wakaamua kuleta msamiati unaitwa "DIKODA" ambapo kikazoeleka Kiasi hata BAKITA walipofafanua kuwa kifaa husika sio dikoda, ni KISIMBUSI, imekuwa Kazi watu kuzoea!
Kosa lingine tukalifanya kwenye PASSWORD, tulichelewa na matokeo yake Hata tulipoambiwa ni NYWILA bado tumekuwa wazito!
Sasa huko duniani Kuanzia WC, Bundesliga, La liga kote huko VAR imeshika kasi, naomba tujiandae endapo ikifika hapa kwetu, badala ya VAR, sisi waswahili tutaiitaje hii teknolojia? Au ndio tutatohoa na kuitwa hivo hivo?
Nawakaribisha kwa mapendekezo!
Mkuu hicho kitu sio kizuri Mkuu!V.A.R (Video Assistant Referee)
Hii ni picha mwendo (video) inayomsaidia mwamuzi katika matukio yenye utata uwanjani.
Nadhani kwa lugha yetu basi tuite. Kisaidia Mwamuzi cha Pichamwendo au K.M.P. Au katika kumuenzi Rais wetu mzalendo basi VAR tuiite. MAGUFULI kwa lugha yetu usiniulize kwa nini maana nasifiasifia tu ili mradi nipate hata ukuu wa district.