Tusifumbie macho ubovu wa elimu yetu, Elimu ni Roho ya Taifa!

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,762
12,681
Nimekuwa mshabiki wa Prof Ndalichako kwa sababu ni kiongozi alie na nia ya dhati kusimamia swala la elim tangu akiwa katibu mkuu wizara ya Elim. Kuna watu tunaweza kumchukia nakumuandama kwa mambo mengi yakizushi, japo ukweli ni kwamba tui haliwezi kuwa maziwa wala maziwa hayawez kuwa tui na huu ndio msingi namba moja ktk kusimamia elimu. Mh Ndalichako amekuwa mama jasiri na mwalim namba moja kukataa div1 kupewa mtu kwa siasa.

Lakini wapo watu hawajuwi yakuwa Elimu isiposimamiwa vyema kwakuwa na mitaala na miongozo thabiti ktk kuitoa hiyo elim madhara yake ni makubwa kuliko hata bomu la Atom. Elimu ndio siri yakuwa na taifa lenye nguvu kiuchumi na kiusalama. Bila elimu wewe unataifa mfu. Nitoe mfano wa taifa kama Israel. Israel ni taifa dogo sana ila mataifa makubwa na hata yenye nguvu kiuchumi na kijeshi wanaipa Israel Billions of money kama malipo yakazi za watu wake uko duniani.

Lakini ukichunguza siri ya mafanikio yao ni Brain. Hawa watu walikaa chini nakusema lazima wawe the best ktk kila nyanja ya elimu na ili kuwa best Elimu ilitengenezewa mazingira namba moja ktk kuitoa nakuifikisha kwa isralits wote. Nausidanganyike jamaa ni hatari hatari ktk kazi zao. Kiukweli ni wazuri sana kiasa hakuna serikali duniani ndani yake hakuna dam ya isralits. Hii nikuthibitisha Elimu ni Roho ya Taifa.

Kwa Taifa changa kama Tz elimu tumeifanya kuwa yaki siasa na wala sio jibu ya changamoto zilizopo mbele yetu. Kutokana nakamchezo hako Elimu yetu ukiweka ulinganisho baada ya 50 Years utagunduwa msomi wa 80 nakitu ni mzuri kuliko Phd holder wasasa. Nini kimetokea nisimulizi zakusikitisha. Tumeingiza utandawaz kwenye elimu na utandawazi umetutandawazi na sasa tupo wazi hakuna pakujisitiri.

Watu wana mastas,phd and Dr ila bongo lala alafu sasa utashangaa mtu kama kitwanga au mzee wavijisent wala hawa Prof ila nihatari brain zao. Embu jiulizen ukiacha mzee Chenge kuja mbele nani anamzidi chenge kwa akili? Hii ni ishara mbaya kwa Elim zetu. Tuseme ukweli jaman Mh Kikwete amekuwa Dr mpaka Prof lakini alama zake kiutendaji zinaleta maswali mengi kuliko majibu. Kwa miezi michache amekuja Dr Magufuli wote tunaacha vinywa wazi hatuamini anayoyafanya na yanawezekana. Maana yake nini? Maana yake Elimu ina nguvu kuleta mabadiliko ktk taifa ikisimamiwa vyema.

Kama Taifa tunashida maana hali ni mbaya vijana wana vyeti vya first class mtaani ila uwenda sii za kweli maana picha linaendelea elimu magumashi naukitaka kuona huzuni nenda Hr ndio utalia na ndio maana mashirika na taasisi nyingi wanaajiri kenya,uganda nk. Swala la elimu sio lakufanya maigizo ukitengeneza Dr kilaza atauwa watu wengi maana nikilaza. Bora utoe Dr 50 kati ya 1000, lakini watafanya kazi ya watu 500 why kwasababu wanavipaji vya ukweli.

Tusifungie macho ubovu wa elimu yetu ili tupate sifa za muda, nilazima tukumbuke tukifanya hvyo nisawa nakuvuka barabara uku tukiwa tumefunga macho.
 
Nimekuwa mshabiki wa Prof Ndalichako kwa sababu ni kiongozi alie na nia ya dhati kusimamia swala la elim tangu akiwa katibu mkuu wizara ya Elim. Kuna watu tunaweza kumchukia nakumuandama kwa mambo mengi yakizushi, japo ukweli ni kwamba tui haliwezi kuwa maziwa wala maziwa hayawez kuwa tui na huu ndio msingi namba moja ktk kusimamia elimu. Mh Ndalichako amekuwa mama jasiri na mwalim namba moja kukataa div1 kupewa mtu kwa siasa. Lakini wapo watu hawajuwi yakuwa Elimu isiposimamiwa vyema kwakuwa na mitaala na miongozo thabiti ktk kuitoa hiyo elim madhara yake ni makubwa kuliko hata bomu la Atom. Elimu ndio siri yakuwa na taifa lenye nguvu kiuchumi na kiusalama. Bila elimu wewe unataifa mfu. Nitoe mfano wa taifa kama Israel. Israel ni taifa dogo sana ila mataifa makubwa na hata yenye nguvu kiuchumi na kijeshi wanaipa Israel Billions of money kama malipo yakazi za watu wake uko duniani. Lakini ukichunguza siri ya mafanikio yao ni Brain. Hawa watu walikaa chini nakusema lazima wawe the best ktk kila nyanja ya elimu na ili kuwa best Elimu ilitengenezewa mazingira namba moja ktk kuitoa nakuifikisha kwa isralits wote. Nausidanganyike jamaa ni hatari hatari ktk kazi zao. Kiukweli ni wazuri sana kiasa hakuna serikali duniani ndani yake hakuna dam ya isralits. Hii nikuthibitisha Elimu ni Roho ya Taifa.
Kwa Taifa changa kama Tz elimu tumeifanya kuwa yaki siasa na wala sio jibu ya changamoto zilizopo mbele yetu. Kutokana nakamchezo hako Elimu yetu ukiweka ulinganisho baada ya 50 Years utagunduwa msomi wa 80 nakitu ni mzuri kuliko Phd holder wasasa. Nini kimetokea nisimulizi zakusikitisha. Tumeingiza utandawaz kwenye elimu na utandawazi umetutandawazi na sasa tupo wazi hakuna pakujisitiri. Watu wana mastas,phd and Dr ila bongo lala alafu sasa utashangaa mtu kama kitwanga au mzee wavijisent wala hawa Prof ila nihatari brain zao. Embu jiulizen ukiacha mzee Chenge kuja mbele nani anamzidi chenge kwa akili? Hii ni ishara mbaya kwa Elim zetu. Tuseme ukweli jaman Mh Kikwete amekuwa Dr mpaka Prof lakini alama zake kiutendaji zinaleta maswali mengi kuliko majibu. Kwa miezi michache amekuja Dr Magufuli wote tunaacha vinywa wazi hatuamini anayoyafanya na yanawezekana. Maana yake nini? Maana yake Elimu ina nguvu kuleta mabadiliko ktk taifa ikisimamiwa vyema.
Kama Taifa tunashida maana hali ni mbaya vijana wana vyeti vya first class mtaani ila uwenda sii za kweli maana picha linaendelea elimu magumashi naukitaka kuona huzuni nenda Hr ndio utalia na ndio maana mashirika na taasisi nyingi wanaajiri kenya,uganda nk. Swala la elimu sio lakufanya maigizo ukitengeneza Dr kilaza atauwa watu wengi maana nikilaza. Bora utoe Dr 50 kati ya 1000, lakini watafanya kazi ya watu 500 why kwasababu wanavipaji vya ukweli. Tusifungie macho ubovu wa elimu yetu ili tupate sifa za muda, nilazima tukumbuke tukifanya hvyo nisawa nakuvuka barabara uku tukiwa tumefunga macho.
Tumaini wewe si ni CCM, waeleze maana elimu imefika hapa ndani ya CCM
 
mataifa yote makubwa yaliyoendelea ukichunguza utagundua yalifanya na yanafanya uwekezaj mkubwa sana ktka ELIMU. utackia bajet ya wizara ya elim 75/= matumiz ya kawaida 25/= miundombin na mambo nyeti ya elim. "the level of economic, social political development of any nation reflect the quality of education of that nation"
 
ELIM NA MFUMO WA ELIMU YETU NI MZUR SANA TENA SANA TU NA UNAONGOZA NA KUTAMBULIKA AFRICA MASHARIK NA KAT UKIMALIZA SIKSI VIZUR BONGO, OXFORD INAKUCHUKUA FASTER. TATIZO NI WATU WANAOSOMA KWENYE HUU MFUMO WANAMUSHKEL ULIOKUBUHU WA IQ NA UKIZINGATIA UHABA WA VIRUTUBISH VYA SUKAR MWILIN KWASASAYAAN NDIO IQ INAZID KUPUPUCHIKA
 
Back
Top Bottom