Tusifanye, mi sijajiandaa

nyooooo mwenzio kaja na stress zake hta kumuuliza utokako...za siku ...kumjulia khali kwa maana kaja kukusalimia wewe hakuna bali dushelele lishasimama kama bendera ya taifa...limekakamaa utafikiri kikosi cha wanajeshi gwaride la Muungano looooo!!!!!!!!

mtu akija kwako mkaribishe kuwa creative have some fun together a lito bit jaman ...mwanamke mfumo wake sio kama wanaume outmatic ataingia line wala hutoomba
 
period nyingine fix tupu, pedi inaloweshwa tomato sauce ukiangalia mwenyewe hutatamani tena

hahaha... mkuu una experience kubwa sana. kumbe baadhi ya dada zetu huwa wanaunga papuchi zao na tomato sauce, chill na kuchumbari...... hahahaha
 
yani univue pichu uangalie kama ninableed your not serious/.....
 
ha aha ha ha ha bora useme tu
 

sio kumvua piliod wanapima oil unatia kidole ata kama mko gizani uneunda kuangalia
 
aisee, haiwezekani sio mdada kaja kukusalimia aondoke bila kumegwa....!
 
Ndo matatizo yenu vijana...Oeni acheni kudhalilishana na uasherati.

Hata wewe kabla haujaoa ulipitia hizi nyendo na naamini haiwezekani vijana wote waoe kila kitu kina hatua zake waache waishi kwenye wakati wao
 
hahaha... mkuu una experience kubwa sana. kumbe baadhi ya dada zetu huwa wanaunga papuchi zao na tomato sauce, chill na kuchumbari...... hahahaha

kuishi uswazi ni sawa na kusoma makerere, kuna elimu na maarifa mengi mno, ndo maana kuna mdau kaja hapa na uzi wa kukuta bkr manzese nilicheka mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…