Hehehe mkuu MziziMkavu hua nakuheshimu sana coz naona unawasaidia watu wengi most of the time. Ila kuhusu hili unaenda chaka. Uko tayari ku-back up your claim? Na kama unatibu gonjwa hili sugu what are you still doing there coz najua dunia nzima ingekua inakujua sa hivi.
Usicheze na emotions za watu coz am sure watakaa wanajipa moyo kua wamepata solution alafu ukawa-dissapoint mwisho wa siku.
Wewe ngojea mpaka dunia initambuwe lakini ninao watibia wanapona na kuendelea kufanya shughuli zao kama kawaida sio tu ukimwi ninatibu Ugonjwa wa Sarataniya aina yoyote ile ugonjwa Kisukari ugonjwa wa Pumu,ugonjwa wa kifafa ugonjwa wa kiharusi, Maradhi ya Tezi dume, Ugonjwa wa vidonda vya tumbo, Maradhi ya Hepatitis B virus,Maradhi ya UTI. Genital Warts, Hepatitis, Herpes, HIV/AIDS, Human Papilloma Virus, Measles, Shingles, Warts. Kazi kwako Mkuu dresonHehehe mkuu MziziMkavu hua nakuheshimu sana coz naona unawasaidia watu wengi most of the time. Ila kuhusu hili unaenda chaka. Uko tayari ku-back up your claim? Na kama unatibu gonjwa hili sugu what are you still doing there coz najua dunia nzima ingekua inakujua sa hivi.
Usicheze na emotions za watu coz am sure watakaa wanajipa moyo kua wamepata solution alafu ukawa-dissapoint mwisho wa siku.
Mkuu ukiambiwa lishe hiyo inaponyesha presha ujue umeliwa, pesa nyingi sana zinatumika kutafuta cure ya haya magonjwa, lakini haijapatikana mpaka sasa.Mimi nimeudhuria semina tangu day 1 hata alipokuja mwenye Trevo tulikula naye dinner pale hayyat hotel zamani kempisk hajawahi kusema inaponya ukimwi ila inaweza kurudisha kinga pale utakapokuwa unainywa consecutively hitakiwi uache unaweza kupona presha pia!kwani Trevo ni mchanganyiko wa matunda yasiyoongezwa kitu chochote kile
Wewe ngojea mpaka dunia initambuwe lakini ninao watibia wanapona na kuendelea kufanya shughuli zao kama kawaida sio tu ukimwi ninatibu Ugonjwa wa Sarataniya aina yoyote ile ugonjwa Kisukari ugonjwa wa Pumu,ugonjwa wa kifafa ugonjwa wa kiharusi, Maradhi ya Tezi dume, Ugonjwa wa vidonda vya tumbo, Maradhi ya Hepatitis B virus,Maradhi ya UTI. Genital Warts, Hepatitis, Herpes, HIV/AIDS, Human Papilloma Virus, Measles, Shingles, Warts. Kazi kwako Mkuu dreson
Wengine wawili ninawatibia nilimponya huyo mgonjwa mmoja kwa majaribio ya dawa yangu sasa nimetangaza kuwa ninatibu ukimwi kwa hakika dawa zangu zinafanya kazi. Mkuu UtotoleSiwezi kupinga wala kukubaliana na wewe pasipo kutafiti zaidi. ila nashangaa kitu kimoja, imekuwaje hadi sasa umeponyesha mgonjwa MMOJA TU wa UKIMWI? Ina maana hakuna wanaojitokeza kufuata tiba hiyo au attempts nyingine hazizai matunda? Au huyo mmoja umeweka kama mfano tu (ethics and Patient-doctor confidentiality observed)? Kwa jinsi watu walivyo desperate, nina hakika watakuwa wamekuja wengi. Refer issue ya Babu wa Loliondo.
Mkuu Wonderful ninatibu hiyo midushelele ikiwa haifanyi kazi dawa ipo ya kuongeza nguvu za kiume.Ahahaaaaaa.
Siku hizi autibu "miboro" mkuu? Au ndio umeadvance?
Mkuu Ozzie Dawa ya kutibu Ukimwi ipo Wazungu wameamuwa kuificha ili Watu duniani wapate kupunguwa.Mkuu MziziMkavu kisayansi hakuna tiba ya UKIMWI mpaka sasa. Lakini kuna ajabu kubwa, kwamba baadhi ya magonjwa kama hypertension (tuite presha), tafiti zikifanywa hata wale wachache waliotumia placebo huwa kuna matokeo madogo ya kushusha presha, ingawa placebo si dawa.
Hehehe mkuu MziziMkavu hua nakuheshimu sana coz naona unawasaidia watu wengi most of the time. Ila kuhusu hili unaenda chaka. Uko tayari ku-back up your claim? Na kama unatibu gonjwa hili sugu what are you still doing there coz najua dunia nzima ingekua inakujua sa hivi.
Usicheze na emotions za watu coz am sure watakaa wanajipa moyo kua wamepata solution alafu ukawa-dissapoint mwisho wa siku.
Kwa hiyo hao wawili ndio GUINNEA PIGS wako?
Mzizimkavu humuamini hata na vitabu vya dini huviamini, hakuna ugonjwa usio na tiba duniani
Mkuu Dreson4 Soma katika kitabu cha Biblia: Revelation 22:2. The Herbs Are For The Healing Of The Nations.Em leta hicho kitabu cha dini alafu ukifungue umtibu mtu, dini watu wameielewa vibaya tu mwisho wa siku ndo unaona watu wanauana kila kona. MziziMkavu hawezi tibu ukimwi, na hakuna dini inayotibu ukimwi nuksi tu.