Sasa tutajifunza kuwa kiongozi wa nchi achaguliwi kwa sura nzuri. Alichofaulu JK katika historia yake ya uongozi ni rais pekee aliyeuzuria misiba mingi ukiachilia mbali safaria nyingi ilizofanya. Istoshe pamoja na kuwa kwake madarakani kwa mashaka tokea uchaguzi wa 2010 ndio maana utawala wake uko legelege, waziri mkuu Pinda ni kama screen saver tu hana alifanyalo na wala hana maamuzi. Ni waziri mkuu pekee anayeonekana kupwaya katika uongozi wake, ataligharimu Taifa kwa kulipwa pension kubwa pale atakapostaafu ili hali hakuna kitu anafanya. Ni hasara kwa Taifa. Anajua hata akijiuzulu madaraka sasa hv atavikosa vingi.