Tusaidie Dr.

Shrodingler

Member
Jan 11, 2012
14
1
Nina rafik yang ambae hayumo umu. Na mm ndie mtu ambae huwa tunashare siri na kushauriana. Jamaa ni mtu safi na smart kila wakati, hivi karibun amepata tatizo ambalo halielewi. Ananiambia anajishangaa sasa ivi kwapa lake 1 ndilo linalotoa harufu na wakati lingne halitoi na ata ikitoka ni kwa mbali sana wakati ambapo katokwa na jasho baada ya kazi o matembezi. Ila ilo lingine limezidi kiasi kwamba sasa inambdi atafute ushauri wa kitabibu. Na anadai ata baada ya kuoga ndani ya mda mfupi tena harufu hurudi.
 
Kunuka kwapa kwa ujumla ni matatizo ya infections za bakteria. Mara nyingi watu huambukizana kwa kuchangia mavazi au taulo. Pia yaweza kuwa tatizo la kuongezeka kwa ANDROGENS mwilini. Vyote hivi huambatana na kutoka jasho linalo badilisha nguo kuwa brown. Lakini mara nyingi huweza kupona kwa matumizi ya medicated soaps kama Dettol au Protex soap. Kama tatizo litaendelea basi itabidi kutumia strong anti septics kama 5% Hydrogen Peroxide kwenye eneo linalo toa harufu.
 
Tunashukuru sana Dr, Asante sana. Ila ningeomba unijulishe ANDROGENS ndio niin..? Na kipi cha kufanya kuzuia zisiongezeke mwilini.?
 
tumia/paka baking soda kwenye kwapa badala ya roll-on deodorant. Hii ni safi/salama na haraka. Pia anaweza kutumia magnesium na calcium tablets. kama vyote havipatikani atumie/apake apple cider vinegar au white vinegar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom