Tusaidianeni kwa hili

30k kwa ajili ya kuanza urafiki? Na wewe ili uanze urafiki unahitaji ngapi unique?
Mie nahitaji upendo na furaha mtu akupende kiukweli kama rafiki wakweli sio rafiki wa uongo unajua ukishazoeana ndio mtu anaona unique anafaa kusaidiwa nini na kama unique anashida basi unamsaidia ila kweli urafiki ni mzuri sana ule wimbo wa furaha kulewa na marafiki furaha kucheza na marafiki
 
Tatizo unawaza ukioa bata zote na wana zinakufa kifo cha mende.
 
Eti mnapotezea kutotaka kutoa ili miwafanye wenzenu single mother??
 
ukiona mtu anatafta mpenzi mtandaoni bas ni kumalizana nyege huwez pata mtu unaemtaka.

wakaza mafuvilu lazima watanioinga ila kupata mwenza ni process ambayo inahitaji mungu na umakini
Endelea kujidanganya
 
Kwa una afutatu hapo.. [emoji23]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Mimi napenda wakaka shombi shombi wasafi na mtonyo uwepo unadhani akizaliwa binti classic atakula nini akaa,
baba ni anatoa mimacho kama mjusi aliyekabwa na mlango
Na hii ndo shida yenyewe.
 
Hivyo vigezo vyenu, unakuta unamsubiria wa hivyo halafu hatokei, badala yake mtu anaanza kujipeleka ili apendwe na mwisho wa siku analizwa.
Okay hivi wajua nilikuwa na mtu sura haifai ila bado alikuwa ananiumiza kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…