tusaidiane kuyajenga

ntikanushwq

Member
Joined
Nov 8, 2017
Posts
38
Reaction score
10
Habari wapendwa. wakuu napenda kupata experience na ushauri toka kwenu. Nizaidi ya miezi nane nikiwa kwenye mahusiano na mdada mmoja. amekuwa akija kwangu mara kwa mara na sometimestunalala wote mpaka morning. Nikiwa na mwenzangu kwenye yale mambo yetu huwa yy huwahi kufika kileleni na nimalachache tunafika kwa pamoja. Mwenzangu akishafika kileleni huwa hanijari tena wakati mwingina ananiacha kitandani na kwenda kuangalia moves na mara nyingi ninamuonya kuhusu hii tabia ila mwenzangu hanielewi. Leo kaja kuniaga baada ya kukaa kwa zaidi ya wiki 2 bila kuonana anataka kusafiri kikazi amenipa game ila tabia yake ile ya kutojari hisia zangu baada ya tija zake kaiendeleza. Mara nyingi anakuja kwangu tuna duu ila ananiacha na hamu. Nifanyeje niachane nae au nimsariti ili nikakate kiu yangu. USHAURI PLZ NAOMBA USTAARABU KWA TUUZINGATIE Kama hauna Cha kushauri pita tu.
 
Kwahiyo hii ndio sababu iliokunyima usingizi....[emoji45] [emoji45]
Pole sana mkuu, ebu ngoja wahusika waamke....
 
we mama noma sana umeileta huku hii kesi
 
Mleta mada we ni ke au me?
Kwamba labda ni wasagaji? Kwamba yeye humsaga vizuri mwenzie af yeye hasagwi vzuri au anachelewa?
Kama ni hivyo mbona ni rahisi.. ni kutegea kumsaga huyo anayewahi ili atabgulie yeye.

Vinginevyo haukusoma mwanzo wa maelezo ya mleta mada.... ungejua tu kuwa huyu ni Me
 

Inakuwaje wewe jamaa unachelewa kufika na shemeji anakuwahi?
Hata hivyo katika sex tunawaangalia zaidi wanawake wafike, ndio raha ya kusex.
Labda kama una tatizo la kuwahi kufika.. that will be another case
 
Wengi wa namna hiyo ni wale wanawake wanaopenda sana kujichua/masterbation. kwa muda mrefu. sasa akikutana na mwanaume akisugua kidogo anawahi kufika.ameshaathirika kisaikolojia. ni ngumu sana kukuridhisha maana wanawahi kufika na wakishafika wanakuwa hawana hamu ya kuendelea. wanaona karaha kuendelea. Kaa chini ujifikirie mara mbili kama una mpango wa kuwa na mahusiano ya kudumu naye utakuja ishi maisha ya kutoridhika na sex maana ni ngumu kwake kubadilika. Si rahisi mkuu. Choose your destiny wise.
 
Demu afike kileleni amtoe jamaa kifuani aende kuangalia movie sebuleni na jamaa anamuangalia tu alafu anakuja kulialia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…