Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,553
[HASHTAG]#Mwifwa[/HASHTAG]. Si utupe na ya kwakoAhsante ngoja tusubiri na wengine
Mimi sina, sasa ndio nataka nichague iliyo nzuri zaidi nianze mazoezi ya kuedit[HASHTAG]#Mwifwa[/HASHTAG]. Si utupe na ya kwako
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Haya bwana [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sina, sasa ndio nataka nichague iliyo nzuri zaidi nianze mazoezi ya kuedit
Hahaaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niijaribu pengine ntakuwa binti [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante. Ngoja niicheki naona watumiaji ni wengi [emoji106]
[emoji7] i-download uijaribu hii.Hahaaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Poa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vibibi mje muwe vijana[emoji7] i-download uijaribu hii.
hata bibi alikuwa binti.
Ha aha ha. Kwani umezeeka?Ngoja niijaribu pengine ntakuwa binti [emoji23][emoji23][emoji23]
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Miaka 70 si ya mchezo mchezo. Mimi muhenga ati [emoji23][emoji23][emoji23]Ha aha ha. Kwani umezeeka?
hata bibi alikuwa binti.
Sawa buana mi sibaguagi, nataka nim_downloadie nyanya angu pia[emoji3] [emoji1]Miaka 70 si ya mchezo mchezo. Mimi muhenga ati [emoji23][emoji23][emoji23]
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Na ubora wa kamera umechangia kutoa klia picha kama hiziMi nataka ya kuedit picha zikatoka hivi
Hizo hazijaeditiwa baba ni camera ya sim... kama unatumia tecno sahau... Tafuta nokia kuna thread yake humu ilisha jadiliwa itafuteMi nataka ya kuedit picha zikatoka hivi