Sikasyakamo
Member
- Aug 1, 2015
- 36
- 9
Tupinge dhuruma, huu ni ubinafsi kwa wabunge wetu
Mkuu waliopo nadarakani hutunga sharia kwa Malengo au manufaa yao on a sasa!Tupinge dhuruma, huu ni ubinafsi kwa wabunge wetuView attachment 938319
Ni wakati wa kuungana na kuwa wamoja seriously na si kukosoa lugha. Hili ni jambo la msingi sana ambalo linakwenda kuwaumiza watumishi na wafanyakazi wa nchi hii. Mfanyakazi umekatwa kodi miaka 35 halafu na hiki kidogo walinachodai wanakuwekea wanakupokonya kwa kutunga sheria hizi kandamizi Umeweka hela yako miaka yote 35 labda ukitegemea utapata na interest siku ya kuipata badala yake unaporwa hata kile kidogo. Wanaoumia zaidi sana ni watumishi waaminifu ambao hawakututa wakati wa utumishi wao kwani kipato cha mtumishi wa nchi yetu hakitoshi hata kula mlo wa heshima.Sijui hili ni kabila gani linaendelea kutuharibia lugha yetu adhimu.
Sio dhuruma ni dhuluma mkuu.
Nashukuru kwa marekebisho, ila hali ni mbaya sanaSijui hili ni kabila gani linaendelea kutuharibia lugha yetu adhimu.
Sio dhuruma ni dhuluma mkuu.
Inawezekana aisee wacha wakomeTanzania wafanyakazi hamfiki hata milioni moja, so someni namba kwani nyie mliplay a big part kutuletea jiwe