... Na wakati wote Mbwa anaamini kabisa yuko salama!! Hata umshike mkia umvute na kumsihi ..atakuwa mbishiiii wa kutupwa kwamba anajua analofanya na kudai kuwa huyo chatu atamdhibiti!!
Edo: wewe si unaniitaga GAMBA niondolewe? nikupe kura ya nini sasa?
Willy: Mkuu chuna si unajua mi baharia @NY nilikuwa nawafurahisha JF tu .............!