wizaga Member Joined Nov 27, 2011 Posts 70 Reaction score 8 Apr 2, 2012 #1 Tunaomba matokeo ya udiwani yaliyojili sehemu nyigineko
L Lugano5 R I P Joined Jul 15, 2010 Posts 4,520 Reaction score 760 Apr 2, 2012 #2 mwanza kata ya kirumba,jimbo la ilemela chadema wameshinda
by default JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 839 Reaction score 216 Apr 2, 2012 #3 Vijibweni ccm wakaz wa huku weng bado wamelala kaz yao kugema na kusukuma mitumbwi aka kibelaaaa njo nnunua samaki.mbeya kiwara -cdm,songea town cdm,tanga kafu
Vijibweni ccm wakaz wa huku weng bado wamelala kaz yao kugema na kusukuma mitumbwi aka kibelaaaa njo nnunua samaki.mbeya kiwara -cdm,songea town cdm,tanga kafu
N Nabihu JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 298 Reaction score 118 Apr 2, 2012 #4 Kata ya shinyanga nani kachukua?
MtamaMchungu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 10,140 Reaction score 15,098 Apr 2, 2012 #5 Nimefurahi sana ushindi wa Kiwira, come 2015, mkoa wa Mbeya wote utakombolewa. Ndaga fijo bhandu bha Kyala.
Nimefurahi sana ushindi wa Kiwira, come 2015, mkoa wa Mbeya wote utakombolewa. Ndaga fijo bhandu bha Kyala.
Mulangila Mukuru JF-Expert Member Joined Feb 24, 2010 Posts 1,945 Reaction score 729 Apr 2, 2012 #6 kata ya Kiwira Mbeya na Lisbon Songea CDM washindi CCM imechukua Changombe .Dom