Muda wa kuwadanganya watanzania umesha pitwa na wakati, waliahidi kufikia tarahe 14 Sep hakutakuwa na mgao tena, nini kinaendelea kati ya Serekali ya CCm na Tanesco, Si muwalipe IPTL pesa zao ili warudishe umeme kwenye grid ya Taifa na watanzania tusiendelee kukaa gizani, Watanzania tutandanywa mpaka lini, zaid ya miaka 50 ya uhuru bila nishati ya uhakika hakuna maendeleo, mafuta bei juu umeme ndo huo haueleweki serikali inataka watanzania wakaishi wapi, inchi inazaidi ya kodi 60 :crying::crying: