Jamani huku kisongo(Arusha) hali ya umeme ni ile ile...mchana upo ikifaka SAA 12:00 unakatwa......huko kwingine vipi tupeane info Bandungu.... ROGER THAT

sie huku ni kama hatuna huduma hii kitu inakatwa alfajiri na kurudishwa midnight yaani full karaha natamani oktoba 25 iwe wiki ijayo niamue hatma ya maisha yangu na kizazi changu.
Afadhali gesi isingeguduliwa maana kabla ya gesi umeme ulikuwepo full time. Nadhani umeme unatumika kuendesha mitambo ya kuchimbia gas. Energy input is greater than energy output.
Jamani huku kisongo(Arusha) hali ya umeme ni ile ile...mchana upo ikifaka SAA 12:00 unakatwa......huko kwingine vipi tupeane info Bandungu.... ROGER THAT
Arusha tatizo kubwa la umeme ni low voltage huko. Miundombinu inayoleta umeme huko hailingani na mahitaji halisi ya umeme huko. Umeme unaokuja huko ni kidogo alafu watu wanaotumia umeme ni wengi, mnajikuta mnagawana huo umeme unakua mdogo, kunakua na low voltage, maeneo mengi pia yako hivyo kam kigamboni,temeke na seem nyingime.
Kwa hiyo tulieni serikali sikivu ya ccm inalifanyia kazi hilo tatizo ingawa lipo na linajulikana toka tanesco ianze, nadhani 2025 litakua limeisha.