deusi Nyambala
Member
- Sep 3, 2017
- 9
- 0
Hapo mkuu una change Value tu ile...ila storage itabak kua ileile...Kuna software ya computer inaitwa Sdata tools. Hii software inafanya kazi ya Ku double ukubwa wa memory card na flash. Kama inaukubwa wa 2gb inakuwa 4gb, 4gb-8gb, 8gb-16gb na kuendelea.
Niliwahi kuitumia kwa memory ya ukubwa wa 4gb ikawa 8 gb, sasa hiyo software ya Sdata tools niliipoteza. Kwahiyo kama kunamtu anayo hiyo software ya Sdata a share nasi. Maana haina ukubwa, ukubwa wake hauzidi 1.1mb.
Na pia nitatoa link ya kuweza idownload hiyo Software, Kwa yule ambaye atatuma atume software na sio apps ya apk, maana site nyingi za kuweza idownload hiyo software wanatoa apk (hapo kuwa makini).
Link ambayo ninayo mie inaniandikia invalid link, kwa ataeweza download a share nasi au kama MTU anayo aitume.
Link hiya apa chini ya kudownload
http://www.filedropper.com/processing/filedownload.php?id=sdatatoolgooglearnercom
Hii kitu ilishamalizwa kujwaan humu tangu mwaka 2011 uko...ndiomana tubakujib haiwezekan hapo una fake tu 4 ionekane 8 ila size itabak ile ileNan Alisha itumia kati yenu, na akona matokeo
Nilisearch nikaona empty, haijawai jadiliwa, ilikuwa na kichwa kinachosemaje?Hii kitu ilishamalizwa kujwaan humu tangu mwaka 2011 uko...ndiomana tubakujib haiwezekan hapo una fake tu 4 ionekane 8 ila size itabak ile ile
Sasa kurudisha data na ku change drive size huon vitu viwil tofaut mkuu?Kwahiyo na hii software ya kuludisha data ulizo farmat mtasema nayo ni fake?
Ease Us data recovery
Nitaisaka kama ipo nitaweka link...nakumbuka thread tangu mwaka 2011 iliwahi kuongelewaNilisearch nikaona empty, haijawai jadiliwa, ilikuwa na kichwa kinachosemaje?