Tupeana moja na mbili ya biashara ya mtindi

Tupeana moja na mbili ya biashara ya mtindi

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
963
Reaction score
2,205
Hili ni jukwaa muhimu sana kwa maendeleo muda mwingi huwa napita pita kuokoteza madini

Leo naomba tupeane uzoefu wa biashara ya maziwa ya mtindi huu unaouzwa mtaani tukianzia na:-

1. Mahitaji ya msingi kufungua biashara hii
2. Upatikanaji wa faida
3. Changamoto zake

Karibuni sana
 
Back
Top Bottom