October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
Unless usijue dhumuni la muwekaji, yeye anaziweka ili ziwe nyingi azitanue akija kuzitumia anazitumia ×100 ya unavyozitumia wewe.Acha uoga, pesa kazi yake kutumiwa na kutafutwa, kadri unavyoniweza na thamani hupotea
Mie saving naweza...Ila nimegundua majukumu yamenizidia...mhh!Napenda sana na naweza sana Savings. Japo kwa sasa ni changamoto baada ya kuwa na familia ila najitahidi sana kwa mwezi ni save hata 40% ya nitakachopata. Inanifanya nakuwa poa sana pale ninapokuwa na malengo yangu.
Napenda sana na naweza sana Savings. Japo kwa sasa ni changamoto baada ya kuwa na familia ila najitahidi sana kwa mwezi ni save hata 40% ya nitakachopata. Inanifanya nakuwa poa sana pale ninapokuwa na malengo yangu.
Hii ya Voda nimeipenda nitaifuatilia, nilikuwa na wazo la kuwa na kitu kama hiko kumbe kipo Tz hii nzuri kama unajipiga Lock unaweka ila kutoa hutoi.Nakupa njia mbili za saving...hizo ukizishindwa wallah umaskini unaupenda
1: Vodacom mpawa Akiba:hii unaweka hela huku unaji funga kua ile hela utatoa baada ya either miezi 3,6 au mwaka...na si kabla ya hapo .hii ni Kama fixed account pia. Na utapewa gawio kidogo kutokana na ulivoweka Akiba yako.
2:Ukatili style: hii niliichukua kwa watani zangu wachaga...unachomelea boksi la chuma na unaeka lock za mageti ..na kitundu kidogo Cha kuwekea hela....halafu tuseme labda we unakaa dodoma..funguo unampa ndugu yako wa Kilimanjaro uko au dar ...kwahyo we unakua unaeka hela uku Cha kufungulia huna. Baada ya mwaka mkikutana ndo anakupa funguo...unatoa mzigo....hii staili ni ya kibabe
Hivi mpawa Hamna makato?au kulipia accountNakupa njia mbili za saving...hizo ukizishindwa wallah umaskini unaupenda
1: Vodacom mpawa Akiba:hii unaweka hela huku unaji funga kua ile hela utatoa baada ya either miezi 3,6 au mwaka...na si kabla ya hapo .hii ni Kama fixed account pia. Na utapewa gawio kidogo kutokana na ulivoweka Akiba yako.
2:Ukatili style: hii niliichukua kwa watani zangu wachaga...unachomelea boksi la chuma na unaeka lock za mageti ..na kitundu kidogo Cha kuwekea hela....halafu tuseme labda we unakaa dodoma..funguo unampa ndugu yako wa Kilimanjaro uko au dar ...kwahyo we unakua unaeka hela uku Cha kufungulia huna. Baada ya mwaka mkikutana ndo anakupa funguo...unatoa mzigo....hii staili ni ya kibabe
kitu bora hapa hata kama majukumu yamezidi, huwa nasema hata kama unapata lets say 700,000 per month, ishi kama mtu anaepata laki 4, matumizi yaendane na lak 4, ona kama laki 4 ndo unayopata, panga bajeti zako zote kulingana na laki4, laki 3 fanya saving. inawezekana. Huwa nasema kama kuna watu wanapata laki2 au 3 wanaish why usifanye kama unapata lak 4 na ukaish nayo na 3 ukafanya saving?Mie saving naweza...Ila nimegundua majukumu yamenizidia...mhh!
kwnn ujitese yaan upate laki 7 uishi kma unapata laki4 dooooh uo ni ujinga'" ishi kutokana na kipato chakokitu bora hapa hata kama majukumu yamezidi, huwa nasema hata kama unapata lets say 700,000 per month, ishi kama mtu anaepata laki 4, matumizi yaendane na lak 4, ona kama laki 4 ndo unayopata, panga bajeti zako zote kulingana na laki4, laki 3 fanya saving. inawezekana. Huwa nasema kama kuna watu wanapata laki2 au 3 wanaish why usifanye kama unapata lak 4 na ukaish nayo na 3 ukafanya saving?
kitu bora hapa hata kama majukumu yamezidi, huwa nasema hata kama unapata lets say 700,000 per month, ishi kama mtu anaepata laki 4, matumizi yaendane na lak 4, ona kama laki 4 ndo unayopata, panga bajeti zako zote kulingana na laki4, laki 3 fanya saving. inawezekana. Huwa nasema kama kuna watu wanapata laki2 au 3 wanaish why usifanye kama unapata lak 4 na ukaish nayo na 3 ukafanya saving?
nimejarib kumpa njia tu ndugu wangari maathai,siolazima kuifuata na sio kujitesa,ni maamuzi tukwnn ujitese yaan upate laki 7 uishi kma unapata laki4 dooooh uo ni ujinga'" ishi kutokana na kipato chako
Sote binadamu Malengo tofauti, ukipewa Malengo ya baadhi ya watu uya-Hold kichwani kwako hata kwa siku moja utapasuka kichwa.kwnn ujitese yaan upate laki 7 uishi kma unapata laki4 dooooh uo ni ujinga'" ishi kutokana na kipato chako
Sim banking ni ugonjwa Kama tambazi...!Sim Banking .... Sim Banking... Sim Banking
Nimekuita Mara tatu