Wakuu wadau wa JF Doctor, tumetangaziwa kupeleka watoto wetu kupata chanjo ya Rubella, tujifunze hapa kuwa rubella ni nini. Bahati mbaya mimi sources zote nilizo nazo ni za kingereza namwomba mkuu mtaalam MziziMkavu aje na data kwa Kiswahili.
Nitakua ninatoa na kupachika vipande hapa vinavyoelezea rubella kutoka mtandaoni na kweka link zake ili msidhani kuwa natunga mimi. Kuanzia juzi mada zangu zote kuhusu Rubella zimekua zikifungwa na mods wa JF, sababu labda zilikua very negative. Hivyo basi nimeamua kuleta huu uzi kielimu zaidi bila kuleta hisia zangu zozote kuhusu mpango wa sasa hivi wa chanjo.
Kutoka wikipedia" Rubella - Wikipedia, the free encyclopedia
Rubella, also known as German measles or three-day measles,[SUP][1][/SUP] is adisease caused by the rubella virus. The name "rubella" was derived from Latin, meaning little red. Rubella is also known as German measles because the disease was first described by German physicians in the mid-eighteenth century. This disease is often mild and attacks often pass unnoticed. The disease can last one to three days. Children recover more quickly than adults. Infection of the mother by rubella virus during pregnancy can be serious; if the mother is infected within the first 20 weeks of pregnancy, the child may be born with congenital rubella syndrome (CRS), which entails a range of serious incurable illnesses. Miscarriage occurs in up to 20% of cases.[SUP][2][/SUP]Rubella is a common childhood infection that is seldom fatal usually with minimal systemic upset although transient arthropathy may occur in adults. Serious complications such as deterioration of the skin are very rare. Apart from the effects of transplacental infection on the developing fetus, rubella is a relatively trivial infection.
Ninaomba mtu ajitolee kutafsiri hapo juu hasa sentensi zenye nyekundu.
cc BAK Karucee Blue G HARUFU Riwa Nimewa tag nyie sababu ndio nimekumbuka fasta fasta kama kuna mwingine mnaeweza kumtag tujadiliane itakua vizuri kupata mwanga zaidi.
Kutoka CDC CDC Features - Rubella
Rubella is usually mild in children. But for some peopleespecially pregnant women and their babiesrubella can be serious. Make sure you and your child are protected from rubella by getting vaccinated on schedule.
Rubella virus can be found in nose and throat secretions, such as saliva, sputum, or nasal mucus, of infected people. You can spread the virus to others through sneezing or coughing.
In young children, rubella is usually mild, with few noticeable symptoms. They may have a fever and a sore throat. Adults are more likely to have a headache, pink eye, and general discomfort 1 to 5 days before the rash appears. Adults also tend to have more complications, including sore, swollen joints and, less commonly, arthritis, especially in women. A brain infection called encephalitis is a rare but serious complication that can affect adults with rubella. The most serious consequence from rubella infection is the harm it can cause a pregnant woman's baby.
MMR Vaccine: Prevents Rubella Disease and Birth Defects
Rubella vaccine is included in the MMR vaccine, which is a combination vaccine that protects you against measles, mumps, and rubella. MMR vaccine is safe and effective and has been widely used in the United States for more than 20 years.
In the United States, 2 doses are recommended for children:
- the first dose at 12 through 15 months old and
- the second dose, before entering school, at 4 through 6 years old.
Mradi huu uko chini ya shirika linaitwa GAVI Alliance na umeshatengewa bajeti ya USD 16,035,000 ambapo USD 1,546,500 tayari zilishatolewa mwaka huu kwa ajili ya kampeni hii.
Nenda google. Anidika Rubella Tanzania na fungua document ya kwanza/ most recent utakayoona.
Habari yako mkuu? Tatizo lako wewe unaweka link kila sehemu ndio Maanda Moderator anazifuta ungeliweka Link moja hapo juu ingelikuwa jambo l amaana si kujaza kila sehemu@NyamgluuAu kama kuna mtu kasikia kutoka kwa mfanyakazi yeyote wa hospitali kuwa hili tatizo limeibuka.
Karucee bado hujampeleka mtoto!Dah! Nyamgluu asante sana. Kwa kweli naanza kufatilia hii Rubella. Asante sana kwa tag. MziziMkavu, Nashkuru pia.
Sweetheart I had no idea to be honest. Lord am so ashamed unajua?