Tuongelee kuhusu matatizo ya gesi mwilini

Tuongelee kuhusu matatizo ya gesi mwilini

Naxria abdalla

Senior Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
173
Reaction score
306
Leo siumwi vipendhy ila natamani tuongee tu khs tatizo la gesi mwilini natamani kujua inakuaje mtu ana matatizo ya gesi hlf tumbo lake halijai, hapati kichefchefu ila anaweza kuambiwa ana tatizo la gesi mwilini, je hii gesi nayo ni moja kati ya maradhi ya silent killer?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom