domo bwakubwaku
Member
- Mar 2, 2011
- 86
- 29
wasimamizi wa kipindi cha leo,hawakufanya haki ya kutusomea maswali na maoni yetu watazamaji,bado namuuliza mchungaji,atutajie matusi yanayotukanwa viongozi,isije kuwa ukweli kugeuzwa matusiTuwapime kwa yale waliyoyafanya - makonda
wasimamizi wa kipindi cha leo,hawakufanya haki ya kutusomea maswali na maoni yetu watazamaji,bado namuuliza mchungaji,atutajie matusi yanayotukanwa viongozi,isije kuwa ukweli kugeuzwa matusi