Paul Mabuga
Member
- Nov 25, 2010
- 10
- 2
Ewura hawana faida kwa watanzania maskini ambao ndio asilimia kubwa.taasisi kama Ewura kwa bajeti yake na utendaji wake ni hasara kubwa.wana negotiate price kwa kubase kwenye economics indicators ambazo hazimgusi mtu wa kawaida.kama mlo tu tabu tutaweza kulipia ongezeko la hizo gharama? Mashirika ya umma yanapaswa kupewa ruzuku ya kutosha na serikali ili kusaidia walalahoi.Gharama za Umeme nchini zimepanda tangu tarehe 15 Januari, 2012. Tanesco walitaka kupandisha kwa asilimia 155 kwa hati ya dharula lakini EWURA wamepitisha zaidi ya asilimia 40 kama ongezeko. Je kuna justification ya kupandisha gharama hizi? Je baada ya kupanda --- nini athari kwa mlala hoi --- Tanesco watafikia malengo yao ya kufuta mgao na kuongeza wateja wapya? ........ na Je hakuna mbinu zozote mbadala za kukabiliana na changamoto za Tanesco zaidi ya kuongeza ankara kila Mara.
Tutakuwa nma wageni kutoka EWURA hapa Star TV ; Tafadhali changia Mada hii
Hatuoni Ewura ikitoa mapendekezo kwa serikali kulingana na hali halisi ya wananchi kukabili maongezeko kama haya.hatujakomaa kiasi cha kuweza kupangiwa bei za ajabu kwa kisingizio za gharama kupanda.EWURA mnao mwongozo wa utendaji lakini mnapaswa kuishauri serikali hatua za kuchukua.Watuambie kwanza wamepokea sababu zipi za kuhalalisha maombi hayo ya TANESCO?
Je, TANESCO hawakuwa na njia nyingine ya kukabiliana na matatizo ya kifedha?
EWURA wanapopanga bei wanachambua sababu ya kutaka kupandisha kwa kupima na hali halisi prevailing in the particular industry lakini hawaangalii yule mkulima wa mboga mboga Mbulu ataweza? Mbona hatusikii wakiiambia serikali waongeze ruzuku kwa mashirika haya ili kufidia hilo ongezeko? Mbona hawawabani mashirika husika kama Tanesco waboreshe utendaji ili waweze kujimudu? Uzembe wa watendaji tulipe sisi wananchi? Kabla hamjakubaliana bei huwa mnachambua mbinu wanazotumia kuongeza mapato kwa kupunguza uzembe? Je huwa mnawapa recommendation ambazo wasipozifanyia kazi hawataruhusiwa kupandisha bei tena?Watuambie kwanza wamepokea sababu zipi za kuhalalisha maombi hayo ya TANESCO?
Je, TANESCO hawakuwa na njia nyingine ya kukabiliana na matatizo ya kifedha?
Gharama za Umeme nchini zimepanda tangu tarehe 15 Januari, 2012. Tanesco walitaka kupandisha kwa asilimia 155 kwa hati ya dharula lakini EWURA wamepitisha zaidi ya asilimia 40 kama ongezeko. Je kuna justification ya kupandisha gharama hizi? Je baada ya kupanda --- nini athari kwa mlala hoi --- Tanesco watafikia malengo yao ya kufuta mgao na kuongeza wateja wapya? ........ na Je hakuna mbinu zozote mbadala za kukabiliana na changamoto za Tanesco zaidi ya kuongeza ankara kila Mara.
Tutakuwa nma wageni kutoka EWURA hapa Star TV ; Tafadhali changia Mada hii