Tuombeeni taifa letu

Tuombeeni taifa letu

Jamani narudia tena tuombeeni nchi yetu inaelekea pabaya mabomu mabomu jmni hapa sio misri jmni
 
Taifa haliombewi mdomoni..Taifa linatulia pale kila mtu anapopewa haki..Taifa hata kama ni maskini litatulia kama litasimama kwenye misingi ya haki!
 
Back
Top Bottom