Tuombe Mungu wa mbinguni Mafuta yasipande Bei Jumatano!

Tuombe Mungu wa mbinguni Mafuta yasipande Bei Jumatano!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,534
Imebaki Mungu wa mbinguni tu atuhurumie ili Bei ya Mafuta isiendelee kupandisha gharama za Maisha

Nawatakia Dominica Njema 😀😂
 
Hili ni la ukweli, maisha yetu Watanganyika ni magumu mno kwa hii hawamu ya sita, matajiri ndiyo wanaofaidika.
 
Imebaki Mungu wa mbinguni tu atuhurumie ili Bei ya Mafuta isiendelee kupandisha gharama za Maisha

Nawatakia Dominica Njema 😀😂
Kwahiyo anayepandisha bei mafuta ni Mungu? Kupandisha bei kushusha bei kazi zote anafanya mwanadamu.
 
Hili ni la ukweli, maisha yetu Watanganyika ni magumu mno kwa hii hawamu ya sita, matajiri ndiyo wanaofaidika.
Wakati matajiri wanajichanga wachague mfalme wao sisi tulikuwa tumelala.

Watu wametumia mabilioni kuchonga kinyago chao...acha wazirudishe kwanza..( ni ndoto lkn nisihukumiwe)

Acha akili zitukae kwanza
 
Serikali iwe na huruma Kwa watanzania..
 
Back
Top Bottom