G guta Senior Member Joined Sep 24, 2010 Posts 186 Reaction score 72 Sep 14, 2011 #1 Kulingana na mambo yanavyokwenda tuombeni amani, kwa maana sasa tunasema bora Nyerere, Bora Mwinyi, na Bora mkapa, Je tukija sema bora Kikwete hali itakuwaje? Sikiliza ujumbe huu wimbo wote hapa: tuombe amani - YouTube
Kulingana na mambo yanavyokwenda tuombeni amani, kwa maana sasa tunasema bora Nyerere, Bora Mwinyi, na Bora mkapa, Je tukija sema bora Kikwete hali itakuwaje? Sikiliza ujumbe huu wimbo wote hapa: tuombe amani - YouTube