djcastlelite
Senior Member
- Mar 8, 2014
- 159
- 21
Hivi ni kweli chama tawala kimependekeza kuonda kwenye rasimu tunu za taifa, ambazo ni uwazi na uwajibikaji?na bado wanajigamba wanamuehezi mwl nyerere? Hivi ni kwanini viongozi wa chama cha mapinduzi wanatudharau sana wananchi wake kiasi cha kutuona atuna akili?