kauzu pipo
Member
- Nov 5, 2010
- 20
- 0
Don't justify by inference, kwanini usimzungumzie aliyepo madarakani.Nimeangalia tv ya zambia hata michael satta mpinzani anaongoza ana kura 988900 na wa chama cha mmd mtawala anakura 800691 hapo kuna tofauti yakura laki2,napia kuna nduguyangu alikua anasafiri kesho toka dar to lubumbashi kwa bus la taqwa wamezuia wasiingie zambia mpk baada ya siku3 kwahali ilivyo hao mmd watachakachua wataiba watamtangaza mgombea wa chama tawala,lakin hao mmd ni wapinzani waliochukua madaraka kwa kumtoa kaunda, sasa wanaiba kura wajitangaze kwanguvu jehapa kwetu tz mpinzani akishinda atakubali kutoka madarakani?
chiluba alipochukua madaraka kwa kumtoa kaunda dunia nzima ilishangilia nandie aliekua ktk wapinzani wamwanzomwanzo africa kungoa mbuyu kama kaunda ila matokeo yake wazambia na majirani zao walilia mpk chiluba anakufa alikua nakesi za ufisadi,pia leo mmd haitaki kutoka madarakani inachakachua kama ccm hapa tzania,je cdm au cuf au nccr au sau tukiwapa madaraka nawao siwang'ang'ania?ukionja nyama ya binadamu huachi uchawi asilani.Don't justify by inference, kwanini usimzungumzie aliyepo madarakani.
Hata mm nimesikia wapo radio, Mpinzani wa kule michael sata anaongoza kwa kura nyingi ndo wananchi wanataka tume itangaze matokeo wakati huo huo tume inadai kuna watu wameingilia mtandao wao wa kumputa wa kuhesabia kura, Hawa hawana tofauti na ccm
taarifa nlizopata ni kwamba raia wa tanzania wameshindwa kulala kutokana na milipuko ya mabomu huko mpakani tunduma kutokana na vurugu za uchaguzi wa zambia. Inasemekana kuwa watanzania wengi wanaoishi tunduma wako kwenye ardhi ya zambia. Mwenye taarifa zaidi atujuze.
taarifa nlizopata ni kwamba raia wa tanzania wameshindwa kulala kutokana na milipuko ya mabomu huko mpakani tunduma kutokana na vurugu za uchaguzi wa zambia. Inasemekana kuwa watanzania wengi wanaoishi tunduma wako kwenye ardhi ya zambia. Mwenye taarifa zaidi atujuze.