Tundu Lisu Kura zingetosha 2020 angeweza kumtenda Shujaa JPM kama afanyavyo Ruto kwa Uhuru?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,023
Nauliza tu kwa mfano Tundu Lisu angepata 51% na kutangazwa mshindi na kuwa Rais wa JMT, je asingekengeuka dhidi ya Shujaa na kumletea usumbufu?

Maana nchi jirani mstaafu anapelekewa moto si mchezo

Sabato Njema!
 
Back
Top Bottom