a.ka. mzee wa products za victoria secrets! (totoz) ndio haswaaaaaaaaa ugonjwa wake! realy pathetic! long live our prezidar!
Pinda anyongwe - Mh keisi wa Nkasi
Watamfanyia kama Lema wa Arusha tu huyu.
Hata Wananchi kama tungelikuwa na uwezo wa kupga kura ya kutokuwa na IMANI na Serikali. Bila shaka wengi wangeliiunga mkono hoja hiyo.
Lakini Bunge ndilo lenye uwezo huo na utashangaa Wabunge hao hao wataingiza SIASA katika suala kaa hili nyeti.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Kwa mwamko ulioko Tanzania sita sikitika tena bali nitamshukru mungu kwa kuharakisha mabadiliko.....Watamfanyia kama Lema wa Arusha tu huyu.
wakati huo huo Mmekopa ndani ya mwaka mmoja 3.4 trillion....Kekekeeeee, uwiiiiiii twafaaa Kg ya mchele=3000/=, Unga=1,500/=,Sukari=2,300/= nk harafu JK anazidi kutaliiiii hivi haoni tunavyopata taabu? jamani 2015 ni mbali mnooooooo!!!!!!!!!!!:hail: